ULALE PEMA PEPONI THE GREAT KANUMBA!

 Marehemu Kanumba, hii ni picha latest aliyopiga 
J5 week hii  katika ufunguzi wa duka la TMH pale msasani

Sisi sote tulikuwa ni fans wa KANUMBA "THE GREAT"Hapa Kanumba akiwa na fans wake huko Ghana

INASEMEKANA CHANZO CHA KIFO CHA KANUMBA
NI LULU


Mashughuli Blog tumepokea habari za kifo cha Steven Kanumba kwa masikitiko makubwa sana yasiyoelezeka! tunamuombea Mungu apumzike kwa amani, tukiwa kama watanzania wengine wenye majonzi makubwa tunasubiri taarifa ya hospital kuhusu chanzo cha kifo cha Marehemu Kanumba. Pia Binadamu wote tunatakiwa tujiweka tayari kwa sababu hatujui saa wa siku ya kuondoka kwetu, ni kila siku tunapewa mahubiri toka makanisani au mawaidha toka misikitini kuwa binadamu yoyote yule lazima ataonja umauti kwa hili siku ya Kanumba ilifika hiyo jana na sasa yuko mbele ya haki, na sisi tujiandae kusubiri siku zetu na hatujui umauti utatukuta katika hali gani basi ni wajibu wetu kila mmoja kumuomba Mwenyezi Mungu atajaalie tuondoke vinzuri hapa duniani. Leo katika pitapita yangu facebukuni nimeona msemo huu kwa kiingereza lakini unafundisha...!!!

"God doesn't call the qualified. He qualifies the called"

Post a Comment

2 Comments

  1. Duh! Kweli kabisa ni masikitiko, lakini ndio ilisha pangwa. Nachukia watu wana vyo post picha zake za mortuary. People should learn to respect the dead.

    ReplyDelete
  2. Mimi niko pamoja na wewe mdau,kwani mnaweka picha ya maiti yake?? tena akiwa mortuary?? ili iweje?? ofcourse kanumba ni mkristo je wajua kama angelipenda hili hata familia yake inaweza kulipenda hili?? sio sawa mimi nawaomba bloggers wenzangu waliowka hiyo picha ya waondoe tuombeleze na picha zake nyingine.

    ReplyDelete