HINA PARTY YA SIA KOMBE

Bride               :Sia Kombe
Color               :Blue & Yeloow
Venue              : Chichi Hotel Kinondoni
Entertainment: Kibao Kata & Rusha Roho


alianza mama akiingia ukumbini na mshostito wake umewaona wa ukwee'e, mama ya mujini!!!!!

Sia akiingia ukumbini

 alikata utepe kuashiria shughuli ndio imeanza na mimi ndio mwenyewe!!!!!
 aliingizwa na shose na companion yake!!!
chezea Sia alicheza kwanza

 Table Setting
Zawadi ya Sia toka kwa wanakamati
 kila mtu aliondoka na kitana..!!

Wachoraji hina walikuwa ukumbini
Kibao Kata, ndio walitulainisha Nyonga si unawajua!!!!

Champignie & Cake

keki mfanowe kibao cha mbuzi, si unajua nazi inavyokunwa??? 
Bi Sia KombeCheza & Rusha roho

MC Salma Dodo wamo anakwenda mpaka chini na sia
Mama na wenzake wakicheza, mmeona nguo zao hapana chezea hawa ni mujini
Sia akirusha roho..!!!
ChakulaZawadi


Sia alimpa mama zake zawadi ya vitenge 

Mama akitunzwa
Mashostito wakipeleka sanduku!!!!


Siah akijimwaga raha iliyoje


Sanduku lilisasambuliwa na Farida, matata huyu si unaona mambo yake!!!!Shose, dada yake sia akitunzwa na mashosti wakeKamati ikienda mkabidhi sia zawadi na pesa taslim 1,000,000/=Siah akitoa shukran

Nyuso's


Wadau nimenenepa tena, so nimeanza coffee - 07/05/2012, 
please follow me on Mashughuli Blog na uone nitakavyozikata kilos!!!!!, watch after two weeks!!!Red Carpet
 Mama mzaa chema
 Wamependezaje...!!
 Fatmah Simba
 Mage, Bega moja Pendeza eeh!!!
 MOI-Salma Dodo MC nambari one & Director NY Production
 Rehema msusi wa ukwee tokea enzi za cassandra
 Shose umependezae na blue & red na hizo dimpoz
 Khadija Rossela, hairdresser wa ukweee'e

Post a Comment

4 Comments

 1. Jaman huyo dada wa tano kutoka chini namjua tumepotezana nae mda mrefu kweli tangu chang'ombe sec, si ni Miriam Mcharo naomba anitafute kwa no. hii o713 173717

  ReplyDelete
 2. mamaa wa mashughuli hii nimeikubali mwana
  makeup imekaa mahala pake nadahni ulichukua ushauri wetu watu wapunguze makeup
  wamependeza sanaaaaaa
  big up

  ReplyDelete
 3. Hongera dada Sia Jamani,,uko juu mlipendezaje??

  ReplyDelete
 4. Hongera sana mdogo wangu Sia umependeza sana na shughuli inaonekana kumeremeta. Hongera sana Shose kwa kuwa pamoja na dada yako.

  ReplyDelete