MSIBA WA MAREHEMU JUMAANE FEREJ BAJANDOH

Ghaige....!!!

Tahiya Dawood


Jembe hilo akipiga kazin huwa hana vicheko!!! akiwa MC ndio mtacheka mpaka chweee!!!
Barka!!!
Mwalimu Bahiya akiitimisha...!!

Wanaume
Sheikh Abbasi Ramadani akitoa muongozo..!!!

umati wa watu ulifurika Ilala Garage kote kulikuwa hakupitiki..!!

Muregenzi wa Facebook,  kati pale mitaa ya kinondoni Biafra, ushawahi kula chips zake ee bwana wee na salad ni bomba ile ,mbaya na yeye alikuwa msibani

 Mzee wa Facebook


Abbas Ramadhani

Baada ya kupata barka, Jeneza likatolewa kwa ajili ya safari ya mwisho ya marehemu, kuelekea makaburi ya kisutuinna lilahi wa inna illaihi raji’un
Poleni wafiwa wote Mwenyezi awatie nguvu, haswa kwa Nuru Mwene mama yetu na mdau mpenzi wa Mashughuli Blog tunampa pole sana!!!!!

Post a Comment

0 Comments