CHAKULA CHA JIONI CHA KUVUNJA KAMATI YA HARUSI YA CAPT. MAJID & HAIKA, Mr & Mrs. YUSSUF MANZI RESIDENT-MBEZI BEACH
Menu ilikuwa kama ifuatavyo, duh nasikia vyote vilipikwa hapo nyumbani inapendezaje, maana siku hizi tumezoea order...!!


 Salad
 Changu, samaki wa kupaka
 Cutless
 Ndizi Tamu
 Chapati 
 Samosa
 Vitumbua  
 Ndizi za kuchoma
 Lobster 
 Tandoori chicken
 Huyu samaki gani tena?? nisaidieni wadau
 Kingfish wa kukaanga ambao walitiwa chumvi n ndimu
 eti huyo ndio ngizi samaki eeh!!
 Mishikaki ilikuwa ikichomwa hapo hapo!!!
 Juice, L: Embe gogo, Embe dodo na tikitimaji
Muhogo wa nazi juu ukatupiwa dagaa wabichi wa kukaanga
cake
 Mama Manzi aliwatayarishia wanakamati wenzake cake ya shukrani, waswahili wanasema wastaarabu wana mji wao, huyu dada Mwanana Manzi na familia yao ni wakarimu sana sijapata kuona, mpaka watoto nao kama wazazi wao, nikifahamiana  na familia kama hii, uwa namshukuru Mungu amenikutanisha nao, asante BEST friend GHAIFE!!!

 Bi Harusi ndio aliyekata cake

 alimlisha mama Manzi kwanza


 akimlisha mama mkwe, Mrs Chicco


Mzee Chicco alitoa zawadi kwa ajili ya wana kamati wake!!
 M\Kiti akipokea zawadi toka kwa Mzee Chicco

 Mzee Yussuf Manzi na yeye akipokea zawadi yake

 Mzee Kambi na yeye akipokea zawadi
 Mzee Chicco alikuwa na zawadi nyingine tena, kwa upande wa kina mama
 Kwanza alimpa mkwe wake, Haika


Maneno ya shukrani
  
Nyuso


 Mwanana na mziwanda wake, Abdulkarim Yussuf Manzi 
   
  Mwanana na mjukuu - God Bless you

 Mwanana na mkwewe mke wa Mohamed, bi Mariam

Mohamed na first born wake
 Mohamed na mkewe Mariam & baby 
Mwashamba & Mwanana
Red Carpet
Mother House - Mwanana Manzi
Mziwanda Abdulkarim, jamani huyu mtoto very helpful ukiona vile alivyowajibika kuwahudumia wageni "mashallaah"


Nimeitwa kwa ajili ya picha but nikabaki nashangaa mjengo...!!!
 jamani what a lovely house!!!! for these couples!!!
CONGRATULATION!!!!!!

 Garden, green ndio kitu napenda sana..!!!
 Nyumba hii nakshi ni kiafrika zaidi...!!
Napenda sana hii milango!!!!

Sitting Room, ni mambo ya TNG siyo tiles
Dinning
Masaafu imekaa mahali panapostahili!!!!

 TV Room, sitaki kuwaza hapo ndio game inachezwa maana .....!!!

Post a Comment

10 Comments

 1. Jamani kuna watu wamejaliwa? Hongera nyumba ina mvuto........Mungu atatujalia nasi, tutafika tuuu

  ReplyDelete
 2. Mashallah nyumba nzuri jamani

  ReplyDelete
 3. I like Zanzibar Chest.

  ReplyDelete
 4. hongera sana Mwanana

  ReplyDelete
 5. Hongera da Mwanana na mumeo.

  ReplyDelete
 6. Wow lovely family nice house god bless u mr & mrs .
  Ooh da mashughuli nyam natamani ningekuwepo mana msosi aah mmwaah .
  By sweety

  ReplyDelete
 7. Kweli da Hellen ukiambatana na mawaridi utanukia uturi, nyumba nzuri Mashaallah!

  ReplyDelete
 8. mashallah kila kitu kizuri ila yule bi harusi hakua rasmi kabisa angalia watu wote wako smati ataa mkwe anaonekana smat umetuangusha next time jirekebishe watu wa dar wapo bomba kwenye kuvaa

  ReplyDelete
 9. mama mudy hongera sana,imependeza ile mbaya.chezea mwananana weye,wanawake tuige mfano wa upendo wake,mtoto wa mwenzio ni wako. by mama joha

  ReplyDelete
 10. yaani nimewapenda kupita maelazo hakika nyie watu wa pwani kwa upande wa samaki sina la zaidi mupo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.na mengine yote mashallahu allah barik.

  ReplyDelete