TANZIA NA SHUKRANI


Familia ya Bibi Nkinde Mwakitalu (Mrs. Nkinde Raymond Man’gati) wa Makumbusho Dar Es Salaam), inatoa shukran za dhati kwa ndugu, Jamaa na Marafiki kwa kushiriki kwenu kwa hali na mali wakati wa msiba wa kipenzi marehemu Raymond Leornard Madinda Mang’ati aliyetwaliwa na bwana tarehe 23 April 2012 na kuzikwa tarehe 23 April 2012 kinondoni, Dar es Salaam.
Hatuna maneno ya kutosha kuelezea ila tunaomba mpokee shukrani zetu kama sehemu ya kutambua mchango wenu na moyo wa upendo mliotuonyesha wakati wa kipindi chote cha msiba na hatimaye kumsindikiza mpenzi wetu Marehemu Raymond Leornard Madinda Mang’ati katika safari yake yake ya mwisho.

MWENYEZI MUNGU AWABARIKI SANA
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU RAYMOND RAYMOND LEORNARD MADINDA MANG’ATI MAHALA PEMA PEPONI AMEN.


Post a Comment

2 Comments

 1. Upumzike kwa amani Shemeji yetu Mungu akutie nguvu nkinde rafiki yetu

  ReplyDelete
 2. Mdogo wetu Nkinde life will never be the same
  but trust only God you will pass through and
  he will show you the way to upbringing your kids.
  God bless u!
  Always Stay calm in Jesus name.
  Sis.

  ReplyDelete