UMMI - KIBAO KATA


 Si unajua soma lazima awe na msaidizi

Sophia na mwali wake Ummi, umefaidije Ummi

Entertainment: Kibao Kata & Rusha Roho

Huyu ndio kibao kata ahmad, hivi bila yeye itakuwaje???hapa ni viuno tu

  Bon'goa bon'goa  hatari utafikiri hakuna mfupa, bt ndio sifa ya mwanamke hiyo!!!


 Ummi naye akitoa ujuzi aliopewa na somo yake bi Sophia
 Samira nakuona na barua yangu!!!!
 Nyuso
nyuso zinatia raha hata kupiga picha, maana make-up zimekolea ile mbaya!!!
 hapa ujumbe umemfikia mlengwa lazima wavae sare mashoga


 pendeza eeh!!!!
 Husna Madohora & Friend

 umeona eeh!!!
 mmependezaje!!! Mashallah ,mato!!! kungu nini?? Mum & Friend

 Ummi na mama


 Mariam Siwa
 siku nyingi sijakutana na kipini cha pua
Post a Comment

8 Comments

 1. imetulia,hongereni

  ReplyDelete
 2. chezea watu wamjini mpendeza sana............haloooooo

  ReplyDelete
 3. watu wamependeza sn, AUNT EZEKIEL IS PHOTOGENIC

  ReplyDelete
 4. jamani my shostito ummy nimetoka naye kampala amependeza sana jamani, hongera

  ReplyDelete
 5. Mashallah shughuli ilipendeza, Chezea somo sophia ww. Na kweli kibao kata bila hamadi bado hakijawa

  ReplyDelete
 6. WAMEPENDEZAJEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

  ReplyDelete
 7. Bi Harusi alinoga na funzo limemuingia haswa hawezi kutuangusha kwa BWANA SHEMEJI.........SOMO NTAKUTAFUTA

  ReplyDelete