WAFANYAKAZI WA KAMAKA COMPANY LIMITED WAANDAA DINNER YA KUMUAGA MWANANA MANZI

OCCASSION : FAREWELL DINNER
VENUE          : GREAT WALL CHINESE RESTAURANT

Mrs. Mwanana Manzi
Mr. & Mrs Yussuf Manzi wakiwa katika dinner katika hotel ya Great Wall Osterbay, Mr. Yussuf Manzi ni Executive Director wa Kampuni ya Kamaka Company Limited iliyoko Mandela Road
Mr. Akif & Mr. Youri Managing Directors - Kamaka Company Limited
Idrissa - Financial Controller - Kamaka Company Limited 


Mr. Mubarak - Marketing Manager
Faces

Big hug from BOSS.... Congratulation mama...!!!
 Mwanana Manzi aliwaletea cake wafanyakazi cake ya asante kwa ajili ya wafanyakazi

 Mwanana akimkabidhi Mohamed Manzi Cake ambaye ndiye first Born wake, pia ni Sales Manager wa Kamapa Co.
 Mohamed Manzi akiwakabidi cake wafanyakazi wenzake
 Mwanana Manzi katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kamaka Company Limited
 Mariam, Mwanana, Mohamed & wife one of the staff of Kamaka
Feed Force ya vijana wa Kamaka Company Ltd

Cake
Mwanana akikata cake na Managing Director Mr.

Red  Carpet


 

Post a Comment

3 Comments

  1. Mwanana na Yusuf nimefurahi sana kuwaona nawapenda na nawakubali upendo wenu ulikuwa wa dhati tangu tukiwa shule Kinondoni mpaka sasa mmekuwa watu wazima namwomba mungu awape maisha marefu yenye baraka tele.

    ReplyDelete
  2. Ameen,shukran

    ReplyDelete
  3. Kamaka is growth company

    ReplyDelete