ALEK WEK FOR AS IF MAGAZINE!!!

ZAMA NDANI KUONA ZAIDI


Post a Comment

1 Comments

  1. mi nadhani huyu ni mwanamke wa kiafrika aliyefanya mabadiliko makubwa katika ulimwengu wa uanamitindo hasa ukizingatia rangi yake and she is still going bold, beautiful and strong.

    Nadhani watanzania tunaweza kujifunza kwamba mtu anaweza kupendeza hata kama rangi yake ni namna hii.Weupe si tija katika ulimwengu wa sasa. Tusome na tujifunze watanzania sio kila harusi watu wanapakwa poda zisizo rangi zao nao kutoka vibaya katika picha zao wengine ni ndoa. Siku muhimu za maisha yao.

    ReplyDelete