AQDI YA RAHMA & ABDU!!!

VENUE: CUTCHI HALL
COLOUR:: LIGHT BLUE & SILVER
BRIDE:: RAHMA
GROOM:: ABDU TALL
MAMBO YA BLACKBERRY, KUHABARISHANA KWA KWELI RAHMA KAPENDEZA SHUGHULI ZAKE ZOTE KUANZIA SINGO MPAKA AQDI, WADAU WENGI WEMSEFIA SANA LAKINI MIE NASEMA NA UTURI UNACHANGIA...!! UKIJA KWENYE MAKE-UP GLAMBOXWEDDING's "BEAUTIFUL MAKE IS OUR HALLAMRK" I SALUTE YOU, BONYEZA KITUFE UONE MAMBO YA UKWE'EE

RAHMA AKIINGIA UKUMBINI
ABDU TALL MUME WAKE RAHMA AKIINGIA KUMPA MKONO MKEWE
MR & MRS ABDU TALL, WAKIANGUKA KWA KALAMU!!!!!
ABDU AKIMSOMA DUA KABLA YA KUMFUNUA UA WARIDI LAKE...!!!
NILIPENDA SANA HINA YA RAHMA VERY SIMPLE..!!
WAKIVISHANA PETE...!!!
MAULID
MAULID YALIFANYIKA IPASAVYO!!!!
BABA AKITUNZA....!!!
MAMA YAKE RAHMA AKIWATUNZA WANAZUONI
BI DALILAH JAGAR, MAMA MZAZI WA ABDU TALL AKIWATUNZA WANAZUONI
MASHOSTITO WAKIFURAHIA QASWIDA
NYUSO
HALIMA MPAKANJIA
MARIAM K. & SAMEERA SHOSTITO WAKE RAHMA KASIMAMA MWANZO MWISHO!!!
BEAUTY EEH!!
NIMEMPENDAJE HUYU....!! 
WAZIRI WA NJENJE
WAFANYABIASHARA WAKUBWA WA CHINA MAUNDA & SAIDA

MAKE-UP ARTIST TOKA GLAMBOXWEDDING WALIWAKILSHA...!!
PICTURE THANKS TO GLAMBOXWEDDING
WANAWAKE WA UKWEE'E WA CHINA...!!! SAIDA KANYAU & MAUNDA
REHEMA KILUVIA NA KAKA YAKE & WIFIYE
HAJARY, RUKIA, CHRISTABELLA & AZIZA
HIDAYA MCHOWELA NA WANAWE
RED CARPET
SAIDA KANYAU HAPANA CHEZEA!! BONGE LA POZI!!
RUKIA!!! BLACK IS BEAUTY!
MAUNDA PENDEZA EEH!!!
RUKIA & HAJARY
AZIZ SONGAMBELE
SAMEERA
CHRISTABELLA, MIE MACHO!!!
BABA NA WANAWE!!
CUTE SAMEERA

ASANTE KWA KUNITEMBELEA KARIBU TENA KWA PICHA ZA RECEPTION

Post a Comment

3 Comments

  1. Bibi harusi nimempenda sana kapendeza na furaha mwanzo mwisho full vicheko, na inaelekea anampenda kweli mumewe...Inshaallah Allah akujaalie ukawe tulizo kwa mumeo nae pia awe tulizo kwako..iwe ndoa ya kheri na ya kudumu...mahasidi wasipate nafasi....

    ReplyDelete
  2. bi arusi naona kitumbo kwa mbaali

    ReplyDelete
  3. hongera bw harusi umepata mke bomba ushukuru kukubaliwa

    ReplyDelete