BELLANAIJA 2013 FIRST WEDDING!!!!

 HARUSI YA KWANZA MWAKA 2013 KWENYE MTANDAO MAARUFU BELLANAIJA HII HAPA....!!! MWAKA UMEANZA VYEMA!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI!!!MORE PICS INGIA BELLANAIJA

Post a Comment

7 Comments

 1. MASHAALLAH! HARUSI NZURI SANA WATU WAMEPENDEZA SANA MAKEUP IPO POA, VERY VERY VERY CUTE!!!! INSHAALLAH MUNGU AWAPE KILA LA KHERI KATIKA MAISHA YAO YA NDOA. WAPATE KIZAZI CHEMA

  ReplyDelete
 2. Niwapenda kweli imetulia imeonekana kiislam kweli wote wapo kwny dress code moja allah awajaalie kheir Amiin

  ReplyDelete
 3. wamependeza sana na make up nzuri kila la kheir kwny harus yao

  ReplyDelete
 4. HAO NDIO WA HAUSA BIBIE THE WEALTHIEST NIGERIAN WANA HELA BALAAA HAPANA CHEZEA NIGERIA NZIMA HAKUNA KABILA LINA HELA KAMA WAO ALAFU WAISLAMU SAFI

  ReplyDelete
 5. Yaani hadi naona raha na wivu... waislam. wamepoa, nguo za kupendeza saaana na za heshima, hakuna nyonyo wala paja linalo onekana wala mngongo wenye nyama zembe. kwa sababu nguo imewahifadhi... hao ndio wa kuigwa... angalia make up, imepoa kabisa... jamani sio fedha tuu bali ni kupanga na kuchagua.. tujifunze yalio mema... big up mashughuli blog kwa kutu elimisha..... ndio faida ya mitandao

  ReplyDelete
 6. Perfect wedding! Thought they were Sudanese but after reading the original site I realized they are from northern side of Nigeria, two different cultures Kanuri and Ebira (Not Hausa). Decency and elegance! No flashy wigs and make-up, no random cleavage and leg showing. Just clean and classy! Not one single innappropriate show of skin. Gotta love the modesty of this culture! kudos! I guess us Tanzanians should borrow a leaf!

  ReplyDelete
 7. LO NI NZURI MNO,

  ReplyDelete