COMING NEXT:: HELLEN URIO (RAHMA TALL) SEND OFF PARTY

KILA SHUGHULI INAMZIDI MWENZAKE, AMEPENDEZA SAAANA! WOOOH, ZAMA NDANI KUONA KIDOGO SIO ZAIDI...!!

Post a Comment

4 Comments

 1. tuwekee picha nyingine tuonee,lol..hatutaki kuonjaaa,raha ya kitu ule chotee

  ReplyDelete
 2. Huyo dada alipendeza sana, mana mi nimekuwa naafatilia from ile Singo yake mpaka hii send. kwa kweli ni mashallah

  ReplyDelete
 3. Make up artist uko juuuuuuuuuuuuuuuu n hair stylist..keep the gud work.mana tumezoea kuona watu wanakandikwa mipowderrrrrrrrrrr hadi inakera kama kinyago cha mpapureeeeeeeee..nimeipenda nguo yake ya kitchen party ilikuwa nzuri sana..ingefaa kuwa ya sendoff instead..my opinion

  ReplyDelete
 4. Kwa kweli nikija bongo laxima nikutafute wewe unaetia makeup madam nani sijui naomba kujua saloon yako iko wapi nimeona no za simu unabadlisha watu nimependa hiyo before and after big up umefanya revolution bongo jamani acheni kukandika nyuso nendeni hapo big up dada

  ReplyDelete