DUKA JIPYA JIJINI DAR, MAMUSHKA's COLLECTIONS!!!!!

MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA, DUKA JIPYA JIJINI DAR WAO WAMESPECIALIZE KATIKA VITU 2 TU, BAGS, SHOES UKITAKA BAGS ZA AINA YOYOTE ILE UTAPATA MAMUSHKA's COLLECTIONS, WANA VIATU VYA AINA ZOTE!! MPAKA VYA HARUSI VYENYE HADHI NA MATARAJIWA:-

INGIA NDANI KUONA ZAIDI....!!!!!!!!

PATA 2PC HANDBAG KWA BEI ILE ILE YA 1PC.....!!
MAMUSHKA's WANAKULETEA HANDBAGS KATIKA RANGI TOFAUTI CHAGUA UPENDAYO!!
SHOES...!!!!!
VIATU VYA MAMUSHKA NI QUALITY , WADAU NI VIATU VYA WATU WA AGE ZOTE, KWA WALE WANAOPENDA KUJINYANYUA NA WASIOEZA MAMUSHKA ANASEMA MAMBO YOTE IKO KWAKE...!!!

KWA WATARAJIWA...!!! SILVER
UNAJINYANYUA KWA CHAT
WATARAJIWA GOLD!!!
BROWN
SAFARI BAGS
HAPA WADAU MTAPATA MABEG NA SANDUKU KWA SAFARI FUPI NA NDEFU, PIA NA FASHIONISTAZ WATAPATA MASANDUKU YANAYOENDANA NA WAO!!!
3PCS BAG, UNAPATA HANDBAD, WALLET & BAG

SAFARI BAG KWA WANAUME
 
HICHO KIBEGI CHA JUU WAWEZA WEKA LAPTOP
 2PC INAPATIKANA!!!
 
 SIO UNABEBA TU, YAKO KWA AJILI YA WANAUME TU, HATA RANGI ZAKE ZINAJIONESHA


 
4PCS VERAGE BAG, UNAPATA MASANDUKU 3 NA BAG DOGO MOJA, MASANDUKU HAYA YANA SECURITY NYLON PIA UNAPATA NA KOFULI AMBAZO UTAFUNGA KWA PASSWORD

MUONEKANO WA DUKA LA MAMUSHKA's


ASANTE KWA KUTUTEMBELEA MASHUGHULI BLOG, WEWE NI SUPPORTER NAMBA MOJA!!!


Post a Comment

3 Comments

 1. MAVITUZ YA UKWEE'E NAKUAMINIA MASHUGHULI!!

  ReplyDelete
 2. vitu vya ukwee'e.

  ReplyDelete
 3. weka bei roughly bac dada
  yangu, tujipange kabisaa maana mambo mazuriiii!!!!

  ReplyDelete