FASO COMPANY LIMITED!! WEDDING & EVENT DECORATORS !!

KUFAHAMU BEI ZAO TAFADHALI PIGA SIMU ZAO WATAKUFAHAMISHA! BEI YA KUPAMBA ZIKO TOFAUTI KUTOKANA NA UKUMBI, HAPA BLOGUNI HATUWEZI KUWAJIBU MASWALI YENU YOTE
Beach Wedding
Wanakupambia utakavyo wewe!!
WADAU LEO NAMALIZA KIU YENU YA KUTAKA KUMJUA MPAMBAJI KWENYE WEDDING RECEPTION YA ARAFA & SAID ILIYOFANYIKA MWISHONI MWAKA JANA, MPAMBAJI NDIO FASO COMPANY LIMITED, YEYE SI KUPAMBA TU NA PIA WANAKODISHA VITU VYA KUPAMBA, KAMA WEWE NI DECOR WAWEZA KODI TOKA KWAO, AU KAMA WEWE UNA SHUGHULI YAKO NA UNATAKA KUPAMBA MWENYEWE WAPIGIE SIMU UTALETEWA VITU MPAKA MLANGONI, BILA GHARAMA YA USAFIRI, VITU VIKO VYA KUTOSHA, MASHUGHULI TULITEMBELEA GODOWN YAO, NACHUKUA DHAMANA..........................!!!

Black Carpet
WANAKODISHA VITI VYA AINA MBALIMBALI 

meza pamoja na viti maalum for high table
 Viti vya aina rangi mbalimbali vinapatikana
Wadau hii ni stage, mmeona eeh! inafungwa mara moja sehemu yoyote ile. 
Meza na Vitambaa vyake vinapatikana Faso Company inategemea rangi unazotaka, pia wanakodisha Red Carpet umeona zilivyo safi wadau! unapewa Red carpet ambayo tayari imesafishwa kabisa
Portable Mobile Toilets

 HIVI VYOO NI VINZURI SANA, KIKO KAMA CHA NYUMBANI
HAYA MAMBO YETU HAYA KIOO KIKO KWA AJILI YA KURETOUCH MAKEUP!!
 CHOO HIKI NI MAALUM KWA KIKE TU!!
UNACHAGUA AINA YA CHOO UKIPENDACHO!!
CHOO HIKI NI KWA AJILI YA WANAUME TU!
MAHEMA
YAKO AINA TOFAUTI NI WEWE TU UTAKAVYO! VITU VYOTE HIVI UNALETEWA MPAKA MLANGONI!!!Post a Comment

4 Comments

 1. Yaani nimependa choo sana

  ReplyDelete
 2. Auntie, Huyu FASO ndiye PACO au?

  ReplyDelete
 3. UNGETUWEKEA NA BEI INGEKUWA VIZURI, VITU NI VIZURI SANA

  ReplyDelete
 4. bei please, wanapamba na kukodisha vitu kwa sh ngapi

  ReplyDelete