JERMINE JAMAL 10TH BIRTHDAY @SWIMMING POOL!!

Manchester United number one fan...!!!
Jermine & Mum...!!! soap soap eeh!!, inaonekana huyu ni mum's son eeh!!

This is for my mum....!!!
World greatest dad...!!!
La'familia

Swimmers
Mum & Dad

Red Carpet
 My Model Anita, mimi penda wewe!!


Post a Comment

14 Comments

 1. So So lovely family nimewapenda bure!

  ReplyDelete
 2. jamani nimepata jina la kumpa baby boy wangu cause baby girl wangu anaitwa jasmine so itakua jasmine, jermine, baba yao anaitwa jamal pia, Birthday imependeza sana hongera jermine kwa kufikisha ten years!!!

  ReplyDelete
 3. Birthday ilipendeza sana, nimependa hilo eneo ilikofanyika birthday panaitwaje?

  ReplyDelete
 4. Jamani nice party small and very simple elegant sio marry brown kila kukicha!Classic birthday na watu classic pia!

  ReplyDelete
 5. mi hata sisemi mana kwenye SO NICE kumepita

  ReplyDelete
 6. Naomba mnijuz ni ukumbi gani huo?????

  ReplyDelete
 7. HAPO WAPI TENA JAMANI NASI TUENDE?

  ReplyDelete
 8. Imependeza sana, simple lakini bomba mbaya!!! I like that.

  ReplyDelete
 9. jamani hapo ni wapi?july nategemea kuja na watoto wangu tz.napenda niwapeleke hiyo sehemu

  ReplyDelete
 10. nafkiri ni wet n wild kunduchi

  ReplyDelete
 11. Happy birthday JJ...congrats Kulwa na baraka kwa kukuza...miss you guys

  ReplyDelete
 12. Hongers wsh u happy n long lyf

  ReplyDelete
 13. congrats Kulwa na Baraka Happy birthday JJ,Wote mmependeza sana Jasmine,June ,Salha,Samiha n all.

  ReplyDelete