KIJACHO:: WEDDING RECEPTION RAHMA & ABDU

NEW COUPLE IN TOWN ABDU & RAHMA FUNIKA ILE MBAYA! 
 HAIR STYLE BOMBA...!!!
ZAMA NDANI UJIONJEE MWENYEWE!!!!, TWAMALIZI NGWE YA MWISHO, HARUSI WEEK NZIMA!!!

NYUSO
 BEAUTFUL COUPLE, NILIKAA NAO MEZA MOJA WATULIVU....!!!
 MASTAR KIBAO NDANI YA NYUMBA...!!!
WATU WASAFIIII, WANAUME USISEME SUTI ZASHINDANA
 INJINI YA JIJI SALMA MNTAMBO!!!
BURUDANI 
 MASHUJAA BEND WAKIKAMUA!!!
SURPRISE FROM LITTLE GAL!!!

RED CARPET...!!!
HAPA NILIFURAHIJE, WANAUME WALIFUNIKA MAANA POZI ZILE ZA KIUME, HALAFU PAMBA ZA UKWE'EEE!!
 UMEONA EEH!!!
 STUNNING RUKIA..!!!
SWAGA!!!
MADINI MADINI KILOS!!! ZABEBEKA!!
WADAU MKAO NI ULE ULE "INGIA TOKA"

Post a Comment

3 Comments

 1. Maashallah amependeza saaaana is she a desgner oooh gorrrjaz mchwaaa simjui hanijui ila hongera zake shughuli zake zoote amependeza na anaenda na fashion

  alie mpaka make up hongera zake ametenda haki na huko shule ya make up naona kapata masters hahaaa! Maana kuna watu wanajifanya maatist wa makeup kazi yao kuharibu watoto wa watu ktk harusi zao

  m mungu akujalie kheri ktk ndoa yako akuondoshe na husda akupe vizazi vya khwr

  mashughuli nakupendaje ku ap to date blog yako mwaaah

  chausiku

  ReplyDelete
 2. hongera sana Rahma kwa kupendeza kwanzia mwanzo mpaka mwisho, hasa make up ilitulia ile mbaya, mungu akutangulie katika ndoa yako. tupate namba ya huyo aliyekupaka make up maana ni balaaa ile mbaya haichushi.

  hongera sana.

  pia dada hongera kwa picha nzuri maana bila wewe tusingeliona hili hongera sana, LOVE U SO MUCH MA SISTER.

  BY NAVO

  ReplyDelete
 3. shikamoooooooooooooo glamboxxxxxxxx hongera kwa kumtendea haki rahma mungu azid kuibarik kaz ya mikono yako.,pil mashughuli napenda kukupongeza kwa picha nzuri sana yaan zinajielezaa zenyewe kuanzia singo,kitchen,party ,send of ,aqd mpaka reception umetishaaaaa.hili somo la make up lilianz kitambo kidogo naona sasa wabongo tumeanza kuelimika kuanzia ma bi.harus mpaka waalikwa hii ni2013 na iman mpaka mwez jun huko kitakuwa kimeeleweka. kiukwel tunafwata nyayo za naigeria mambo ya fawless mak up na ukweli bibi harus wetu wanapendeza sana.naomba niwe muwaz nimefurahishwa sanasana na aqdi vile bib harusi alivyojisitiri na waalikwa pia mambo ya kuacha mara nyonyo nu kwapa waz hayana maana wanawake tujisir na tunapendeza sana.ni hayo tu kwa leo zaid mungu akuweke na kukujalia afya njema uzid tupostia mautamu.

  ReplyDelete