LUSIVYA MDAU WA TWANGA ACHUKUA NONDO YA FINANCE & ACCOUNTING

  Lusivya achukua Nondo ya Accounting and Finance toka Chuo kikuu cha De Montfort UK, Zama ndani kwa picha zaidi

Wahitimu Mo,Lusivya na Rashid copy 
 Lusivya akiwa na  marafiki zake 
La Familia Msiilwa Baraka, Omary Baraka na Baraka Baraka wakisheherekea na Lusivya

Post a Comment

3 Comments

  1. Hongera sana my kaka mungu aendelea kukuongoza inshallah

    ReplyDelete
  2. Yaani huyu kaka amenifurahisha sana. Ameonyesha kuwa huwezi kutegemea mziki na maonyesho daima, lazima uwe na kitu kingine kama kinga, muziki ukikataa unafanya mabo mengine. Vile vile amejiongezea ujuzi wa upande wa biashara wa muziki, hivyo mapromota, maajenti na wengineo watajifikiria kabla hawajamlalia. Hongera sana kaka yangu.

    ReplyDelete
  3. hellooooo cousin lusivya,hongera sanaaa tena sanaaa..ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.safi sanaa by missy kigoma

    ReplyDelete