NAIJA WEDDING - INTRO & ENGAGEMENT


HIVI NDIVYO ENGAGEMENT INAVYOFANYIKA!!


HII IN INTRODUCTION & ENGAGEMENT, HARUSI ITAKUWAJE!! HAPA KWETU WENGI HAWAPENDI KUTOA PICHA ZA MAHARI KWA KUHOFIA HARUSI INAWEZEKANA ISIKAMILIKE, MIMI NASEMA HIVI ALIPANGALO MWENYEZI MUNGU BINADAMU HAWEZI KWAMISHA KAMWE!!! ZAMA NDANI UONE MAMBO YAO..!!

Post a Comment

5 Comments

 1. Shughuli wenzetu wanazijua! sisi tunabeep

  ReplyDelete
 2. Faranga inahusu sio kingine

  ReplyDelete
 3. hahhahhaha wewe umwswma kwelii wabongo tupilia kuleeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 4. Kwa kweli makeup ya bibi harusi na waalikwa imetulia, nzuri sana.

  ReplyDelete
 5. Imependeza sana harusi itakuwaje

  ReplyDelete