NAIJA WEDDING


Post a Comment

6 Comments

 1. kila mtu kavaa nguo yake nzuri siyo sare kama kwaya!

  ReplyDelete
 2. wamependeza kwa sana tu, mashallaaah

  ReplyDelete
 3. jaman mbona keki za wenzetu zinavutia,
  zinapendeza machoni hata muonekano wake mzur mno.
  kwa nini zetu nazo zisipendeze kam hizi?
  wapishi wa keki za maharusi mpo?

  Sia

  ReplyDelete
 4. jamanii tuige wenzetu woteee nyuso nzuriii na makeup zao zimetuliaa,asante mashughuli kwa kuwaelimisha watu,lol..acheni mikorogooo black is beauty..hakuna wenye mikorogo na sura zinavtiaa..tuwaige wenzetuu..yaan watu tunaona hadi raha kuangaliaa...GOD BLESS U MASHUGHULI

  ReplyDelete
 5. KWELI KWA SASA KUNA MPIKA KEKI ANAITWA ASHA OTHMANI AUNT YAKE SALMA GEPKE ANAPIKA KEKI NZURI KAMA HIZO WAMETOKA NIGERIA MASHUGHULI UKIMTAKA NIULIZE ANAKAA KIGOGO

  ReplyDelete