ONJA:: RAHMA TALL SINGO!!

Pendeza ile mbaya...!!! jamani hii ndio singo ya kwanza mwaka 2013, mambo yanaanza vinzuri, Rahma Tall kama wanavyomuita alipendeza sana..!! I love the Indian dress was very simple, rangi mpya sio common colour, make-up ni bomba ile mbaya unajua ni wapi walimfanyia make & hairstyle?? stay tuned @ mashughuli blog, 
Yeye aliingia akirusha Jasmine Flowers, mambo yenda yakibadilika sio udi kila siku!!! mambo ya masomo....!!!!
 Sameera, mtoto wa Salma Mntambo afunika kamtunza shoga sanduku la ukweee, hongera mdogo wangu tisha ile mbaya!! huo ndio ushoga!!!

 Injini ya Jiji ndani ya nyumba!!!
Lulu Kiluvyia & Rehema Kiluvyia the one & only wife of Salim Mwakachui!!
Mariam Mntambo, Aisha & Halima Kamusi
Nana pendeza eeh!! na shostito!!
 Swaga
Do you know who rock this Swaga?? umetisha shostito..!!

tunasema hivi STAY TUNED!!!! ingia toka ndio mtindo!!


Post a Comment

2 Comments

  1. halima kamusi ndiye mwenye swaga hiyo ya pochi na mkanda wake

    ReplyDelete
  2. SIS HALIMA UKO JUU KAMA EURO

    ReplyDelete