RAHMA & ABDU RECEPTION!!!!!

BRIDE::RAHMA
GROOM:: ABDU
VENUE::POLICE OFFICERS MESS
ENTERTAINMENT:: MASHUJAA BAND
COLOUR:: RED BLACK & WHITE
MC::
STILL PICTURE - SNAP STUDIO +255 713 472 115
MAKE-UP & HAIRSTYLE: - GLAMBOXWEDDING 
CATERER:: TALMA STILL PICTURE PICHA PIGA SIMU 
+255 713 676 134
Wakiingia
Decor...!!!
 Champgnie

Cake
Burudani


Zawadi ya Wanakamati

Wanakamti waliwakabidhi chq
Nyuso
 Beautiful Couple!!!
Rehema Kiluvia

JB
mama na watoto
suti za ukwee
wamefanana eeh
Papa kizaizai
CHAKULA


RED CARPET
SWAGA'sPost a Comment

11 Comments

 1. mung awajaalie ndoa iwe ya heriiii,wapate kizazi chemaa inshaallah..

  ReplyDelete
 2. Mashaalwa Mola akupe nyumba njema . USIA WANGU UMEONA LEO ULIVYOBARIKIWA KUJAZA WATU BASI ISHI MAISHA MAREFU YENYE FURAHA NA MOLA AWAPE WANA WEMA .MVUMILIANE ,MUOGOPE TAMAA NA ANASA ZA DUNIA,NA SIKU YA MWISHO MOLA NDO MJUZI MRUDISHE WATU NYUMBANI KWENU KAMA WALIVYO LEO
  ,MAANA YA USIA WANGU : MUISHI MPAKA KIFO NDO KIWATENGANISHE
  AMEEN

  ReplyDelete
 3. nimependa nguo y a matroni
  naomba kujua kashona wapi?
  number tafadhari

  ReplyDelete
 4. Jamani kumbe aunty ezekiel yupo tanzania kapendezaje ss!!!

  ReplyDelete
 5. jmn GLOMBOX kiboko ya mambo niliona pic ya bibi haruc b4 and afta uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii anachunuc kma fenec,lkn halivyopambwa uwez jua kma anachunc.mna chunuc pluc mabaka na alivyomweupe pta pic inakuwaje.

  ReplyDelete
  Replies
  1. lol, you are right Glambox ni kiboko, make up artists wengine wa kibongo wangejifunza kutoka kwa glam madam

   Delete
 6. Hii sehemu ya kumuharibia mwenzio,kama chunusi c ni zake.

  ReplyDelete
 7. sijamuona mariam twahiri na mkweche kwa mtoto wa shoga why

  ReplyDelete
 8. nyie mnawivu chunusi zinahusu nini,kusema kweli wanawake wakibongo hamjui kuvaa n kujipata make up is too much n dress n flat shoes lol

  ReplyDelete
 9. we unaezisema chunusi utakua ushafunuliwa na bwana harusi sasa izo ni hasira tuu chunusi si zake mumewe ndo alizozipenda na kutwa kucha anazitoa na kulamba kaa na wivu wako snitch mkubwa

  ReplyDelete
 10. Duh, watu wengine busara ziro!! badala ya kumsifia bi harusi unamsifia Salonist, mwake humo? Bora umepewa unayostahili. kwani mume kamuona leo baada ya kupambwa? alimuona zamani, huenda alichompendea ni hizo chunusi unajuaje? acha hizo. Wivu tu huo unalooooo!!!!!!

  ReplyDelete