RAHMA TALL (HELLEN) SEND OFF PARTY

Venue:: Delux Inn
Entertainment:: Respect DJ's-0713 304 055
Colour:: Red & Dark Blue
Bride:: Rahma
MC:: Chriss Mauki
Still Picture:: H&M Studio
 
 
KAMA KAWAIDA MAKE-UP & HAIR STYLE BY PROFESSIONAL GLAMBOXWEDDING, KWAO HAKUNA KUKOSEA...!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI
Rahma akiingia ukumbini...!!
MC CHRISS MAUKI
RAHMA
PENDEZ EEH!! NA UTURI UNACHANGIA....LOL


RAHMA AKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA YAKE
DECOR
 
Cake, Champgnie & Ndafu
RAHMA AKIENDA KUWAPA CAKE FAMILIA YAKE
BABA MKWE AKIPEWA KIPANDE CHAKE
MAMA MKWE DALILAH JAGAR AKIPATA NA YEYE KIPANDE CHAKE
CHAMPIGNIE
KAMA KAWAIDA YAKE YEYE PIA ANAFUNGUA KWA WISH ZAKE!!
AS USUALLY MAMA NAMBA ONE

AKIGONGANISHA GLASS!!

GUESS RAHMA KAMUONA NANI??
KILA AMUONAPO HABIB WAKE ABDU, ANAFURAHI ZAIDI
NDAFU
SI UNAJUA NDAFU UCHAGANI HAIKOSEKANI
A PEACE FOR MY GIRL!!
Namtafuta habib wangu!!!
HUYU HAPA....!!
NAKUPENDA SAAAAANA, UMEONA ZAWADI
MMEMUONA MY HUBBY!!!
Zawadi
MAMA KWANZA ALIMKABIDHI ZAWADI YA MASAAFU & MSWALA
KISHA AKATOA FUNGUO YA GARI....!!!
MAMA ALIMKABIDHI GARI SAPCIO NEW MODEL RANGI NYEUPE, MTAMUONA NAYO HUKO KITAANI
SAMEERA AKIMPONGEZA SHOSTITO MWANZO MWISHO
LATIFAH UMENOGARE..!!!
Nyuso
 NANA KANYAU & FRIENDS

Red Carpet

Post a Comment

4 Comments

 1. mashaallah mtoto mzurii na kapendeza pia mungu awaepushe na mahasidii,ameen

  ReplyDelete
 2. good job mashughul,yaan huwez amin kila siku napita humu kuona kama umerusha post yote kiukweli bi rahma amependeza sana na big up kwa desger wa nguo yake na make up artist wake glamboxxxxxxxx shikamooooooooo hakika umemtendea haki.naitamanije hiyo post ya harusi najua itakua kareee.

  ReplyDelete
 3. Baraka and natu tunasubiri yenu kwa hamu

  ReplyDelete
 4. harusi nzuri lakini watu you need SMILE FACE

  ReplyDelete