RAHMA TALL SINGO!! (HELLEN URIO)

VENUE:: PJ HALL
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO & KIBAO KATA
BRIDE:: RAHMA TALL
COLOUR:: GOLD & LIGHT BLUE
MAKE-UP:: GLAMBOXWEDDING
MC:: MUU 
Beautiful make-up done by GLAMBOXWEDDING!!
CUTE EEH!!
She is a queen kubali au kataa, I like her Indiana Swaga was very simple no  makorokoro...!! zama ndani kuona zaidi...!!

VERY SIMPLE!!!NIMEPENDA MAKE-UP NA HAIRSTYLE, ALIFUNIKAJE BI HARUSI LAZIMA KWANZA WEWE HUJIPENDE...!!!
MC
Rahma akiingia


Aliingia kwa confidence bwana, unajua ukipendeza aaaah!!
pambe ya masomo, mtoto kafundikaje!!!
   
 Ndundu ikiingizwa na pambe ya somo
 


Baada ya Ndundu, mwali ilibidi atuonyeshe mafunzo ya somo je kiuno kimelainika??, hapa ngalia picha tu kama hujachezwa huwezi elewa
Salma Mntambo akimtunza Rahma maana mambo hatari tupu
Somo uko juuuuu!!
BURUDANI
FUTA JASHO...!!!
SAMEERA AKIENDA MTUNZA SHOSTI WA UKWEE'E, UMENIFURAISHAJE DOGO LANGU???  UMEOWAONESHA EEH!! MASHOGA FEKI.....!!!
ALITUNZA SANDUKU NA BEGI, HONGERA SAAAANA!!!
WAX ORIGNALLY
ALISASAMBUA MWENYEWE!!!
RAHMA NA WATOTO WA MNTAMBO'S AKIKUPENDA MMOJA BASI WOTE WANAKUTHAMINI.....!!!!
HABIBA AKIMTUNZA RAHMA
SOMO AKITUNZWA NA MWARI
MWARI HANA MANJONJO!!! ALIMUONYESHA KWAMBA YEYE NI MWARI MWARIKWA
MARIAM K, AKITUNZWA NA RAHMA, HATA MIMI NAKUBALI SHE IS VERY RESPECTFULLY GAL!!!
MASOMO WASAIDIZI WAKITUNZWA
SOPHIA NA MRS MAJUTO
Nyuso
SHOSTITO'S...!!!, MSIYAJALI YA MJNI WAPOTEZEENI TU!!

SALMA MNTAMBO & BAHI, KWAKO LINI??
KHADIJA, MARIAM K, BAHI
CHRISTABELLA, DORA & RUKIA
HUSNA MADOHORA & SHARRIFA MADENGE!!
SABRINA WAGE
NANA & SHOSTITO
MARIAM MNTAMBO, DESIGNER HALIMA KAMUSI & AISHA
FATMA FUNDIKIRA & SHOSTITO

ZUWENA & SHOSTI
DOGO LANGU HILO LATIFAH!! NAKUPENDAJE!!


Red Carpet
MAMA WA SALIM MWAKACHUKI, HAKUNA KAMA WEWE!!
HAJARY
 
SWAGA
Post a Comment

11 Comments

 1. mhhhhh umependezaje, safi sana nimependa hiyo nguo ya kihindi, ki hindi hindi, safi sana.

  asante aunt kwa picha nzuri, nakupenda
  from navo

  ReplyDelete
 2. Nana kanyau na rafiki yake wamependeza pia wametokea wasafi......Aziza,Rukia na christabella pia nao wamependeza

  ReplyDelete
 3. Jamani watu wamependeza sana. Bi harusi big up. Make up imekukaa sawa.

  ReplyDelete
 4. Woo bi harusi makeup waa ila jamani bongo punguzeni mambo ya masare ushamba kama mnaunda bendi mariam from dubei

  ReplyDelete
 5. mlipendeza sana kiukweli makeup ilifika mahala pake

  ReplyDelete
 6. wapendwa naomba kuuliza singo huwa ni shughuli ya nini? ni sawa na kitchen party? samahani ushamba mwenzenu sijui

  ReplyDelete
 7. Kwa wewe ulieulizia singo ni nini, soma link nilioweka hapa itakuelezea kwa undani maandalizi ya harusi katika mahadhi ya kiswahili!!!!!! Kitchen party ni mambo ya kisikuhizi ambayo yanachanganya utoaji wa zawadi na mafunzo ya unyago kwa bibi harusi. Lakini singo ni matayarisho ya usafi wa bibi harusi (mchanganyiko maalum wa liwa, sandalwood na manjano) hutengenezwa na kupakwa mwili mzima kabla ya harusi na hina huwa inapakwa wakati wa singo!

  http://www.mambomagazine.com/in-deep/tradition/the-island-aisle

  ReplyDelete
 8. Nana wa daud kanyau umependeza sanaaa mashallah mungu akuzidishie na uzidi kupendeza...ndoa imekupenda mtoto wa daud,unafata nyayo za mama enhh?nachowapendea watoto wa saida hawajiskii jamani popote wanapokuona wanakusalimia na pia wana adabu sana mungu akukuzie wanao dada saida inshallah
  Dada mashughuli asante kwa picha jamanii tulokuwa mbali tunafurahije?
  Aisha from Germany

  ReplyDelete
 9. jamani naomba kuuliza huyu bibi harusi kafanana na dada mmoja nilisoma nae magogoni anaitwa hellen..ni yeye kabadili dini au nafanannisha..ila kapendeza sana

  ReplyDelete
 10. Ndiye hellen huyo @ anony January 21, 2013 at 4:24

  ReplyDelete
 11. si mchezo picha za ukweheee watu wamependza xanaaa

  ReplyDelete