BIRTHDAY BASH YA AWADH!!!

 CAKE TOKA KWA MKEWE MPENZI HASINA!!
 AWADH AKIZIMA MISHUMAA!! MIAKA 3 TU

 KATA KEKI TULE!
 AWADH & SALIM MWAKICHUI
 MUME NA MKE WAKILISHANA KEKI


 SABAHA MTOTO WA AWADH AKILISHWA KEKI
 TIMA AKILISHWA KEKI NA AWADH
 AKIMLISHA MKEWE MKUBWA! FATHIYA
 BWASHEMEJI JAMALI
 REHEMA KILUVIA AKIPATA KEKI YAKE
 MWINYIBABU


 WASTAARABU WANAKUJA NA ZAWADI
 BAKER!!
 KILUA

 AUNTY HELLEN
 MATOOO HASINA

 TUKISEREBUKA
 AWADH NA WAKE ZAKE

 HUAMINI KAMA CHAKO MARA MBILI WATIZAMA
JAMAL NA WAKE ZAKE!!

Post a Comment

18 Comments

 1. sijaelewa uyo mwenye bday ana wake wanne?

  ReplyDelete
 2. nice verry nice mdada mwenye leswig nimempenda

  ReplyDelete
 3. Hata me nimechanganyikwa kuhusu wake, sijawahi kutoa maoni ila naipenda blog yako kila siku lazima niingie, inanifurahisha kuona picha za watu ambao sijawaona muda mrefu. Kazi nzuri dada hongera, me penda blog yako.

  ReplyDelete
 4. Nafikiri alikuwa akimaanisha mashemeji zake,kwa jina lingine ni wake zake!Picha nzuri!
  Ila Bi Helen umefungua mdomo kabla ya keki hajakufikia,na hapa nikahisi napewa mimi!Looh sijui keki ingedondoka mimi na Helen wangu tungefanyaje!!!Ha ha ha joke!Lov you much Helen!
  Ahlam London

  ReplyDelete
 5. nimependa ujumbe wa keki.ila mr.kakosea anatumia sana mkono wa kushoto kuwalisha watu.

  ReplyDelete
 6. nimependa birthday wameshiriki wake wote bila msuguano, ila mr. anawalisha watu kwa mkono wa kushoto kwanini?

  ReplyDelete
 7. ANATUMIA MASHOTO MWENYE BIRTHDAY

  ReplyDelete
 8. Ina maana huyu jamaa ana wake wanne?

  ReplyDelete
 9. Waswahili kuoa wake wengi ndo wanaona kujenga heshima.

  ReplyDelete
 10. mazoea jamani!! uma si unashikwa na mkono wa kushoto

  ReplyDelete
 11. kwani mkono wa kushoto unamatatizo gani?

  ReplyDelete
 12. Rehema Kiluvia umepungua viuri,ila punguza lace wig,linakatisa nywele sana,mtazamo wangu

  ReplyDelete
 13. mwinyi babi umetokelezea wow

  ReplyDelete
 14. mwinyi babi umetokelezea wow!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 15. Hahahaaaaaaaa santaaaaaaaa mke mwenzangu hasina..mnenepeshe mume wetu azidi kuumiza watu wenye roho ya kwanini...hahaaaa haloooooo wataumia sannnnnnnnnna mwaka huu...by Laam

  ReplyDelete
 16. Chezea Tanga Rehema Kiluvia amependeza.


  ReplyDelete
 17. Chezea tanga Rehema Kiluvia umependeza.

  ReplyDelete