BIRTHDAY BASH YA NURU!!!HII NI BIRTHDAY TU LAKINI KULIKUWA NA SARE, UPO HAPO, KAMA ZIKO ZATUMIKA TU....!!! SHURTI KWA KINANDA, HAPA NURU AKIKATA KEKI NA MUMEWE HASSAN FAROOK!!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI..!!!


KISS KISS, NA VALENTINE INANUKIA

DALLAS AKIMTUNZA NURU MAHELA!!!
KINANDA NDICHO KILITUBURUDISHA!!
NYUSO


WAPENDANAO AWADH & HASINA, JAMANI MBONA MABUSU MEEEEEEEEEEENGI BAKIZENI FOR VALENTINE
HASSAN FAROOK, THE OWNER OF GUSAGUSA MINI BAND, TENA WADAU GUSAGUSA SIKU HIZI WAKO TROPICAL KARIKAOO


MAMJU SABAHA
ESTER!!!

ANU BANU & FRIEND


SISTERS SISTERSEDDY SHOSI NA FATHIYA


Post a Comment

0 Comments