CELINA's BABY SHOWER!!

MAMA KIJACHO CELINA STEWART
ZAMA NDANI KUONA ZAIDI.......!!!

 CAKE & CHAMPGNIE
CAKE YA CELINA ILIKUWA NI UMBO LA MWANAMKE SEHEMU YA JUU
DECOR......!!
ZAWADEES
 
 
ZAWADI NDIO KAMA HIZO TOKA KWA MASHOSTITO'S
 MAMA KIJACHO NA ZAWADI ZAKE
 MASHOSTITO WAKAMTUNZA SHOSTI
 WAKAMPA SHOW YA UKWEE'E
Champgnie & Cake
HUYU NDIO ALIYENDAA SHUGHULI NZIMA
CELINA AKINGUA KINYWAJI MLIPUKO!!!
CELINA AKIKATA CAKE YAKE!!
 
 CELINA ALIKATA KEKI YAKE KWA KUFUNGUA NJIA YA UZAZI!!
AKIMLISHA FIRSTBORN WAKE...!!!
CHEZA
WATU WALICHEZAJEMDUARA ULIHUSU

NYUSO


NANA KANYAU NA SHOSTITO TIMA
MWANADADA BLOGSPOT
RED CARPET
SWAGA HIZI WANAZITOA WAPI
HAPANA CHEZEA NANA KANYAU MWARI WAKE ZULEKHA LODI
SWAGA
 
Post a Comment

13 Comments

 1. mashughuli usipake tena hiyo lipstik umekuwa kama jini. usiibanie

  ReplyDelete
 2. niceee dats for better for worse.....

  ReplyDelete
 3. celine umependeza sanaaa hongera.

  ReplyDelete
 4. mmh jaman hatualikaniiii??

  ReplyDelete
 5. Leah na mimi nategemea utanifanyia baby shower soon,hongera shostito uko juu!

  ReplyDelete
 6. Mama Kijacho mzurije?? Kapendeza kama bi harusi, kweli wazee mwisho Chalinze

  ReplyDelete
 7. umependeza hellen sana tu

  ReplyDelete
 8. mambo mengine tumuachie mungu

  ReplyDelete
 9. kwa nini niibanie hiyo coment anonymous namba 1, na hata kama sijapendeza si lazima uninfanishe na jini, ndio nina uwezo wa kublock hiyo comment but sijataka kwa sbb niwaonyeshe watu vile wana midomi michafu kama ungesema sijapendeza nisingekuelewa??

  ReplyDelete
 10. KAKOSEA HUYO ANANO.. WA KWANZA ANGESEMA LIPSTIK HAIJAPENDEZA . KINGINE WA BONGO WANAPENDEZA SANA ILA WANAPENDA KUMECHISHA OVER KWANI SIO LAZMA RANGI ILOKUA KWENYE NGUO UITAFUTIE LIPSTIC .KUNA LIPSTIK ZINGINE KWA WEUSI HAIPENDEZZZZZ KABISA . HATA WATU WEUPE NAO KUNA ZINGINE MMMMMH USIIBANIE

  ReplyDelete
 11. Ni kweli huwezi kumfananisha mwanadamu na jini na ndiyo maana m/mungu aliweka binadamu na jini,Sio vizuri kumfananisha mwenzio na kiumbe kilicholaaniwa,tuwe wastaarabu.

  ReplyDelete
 12. NANA KANYAU UMEPENDEZA SANA NA DIRA LAKO, VERY CUTE

  ReplyDelete
 13. Tisher mamii sasa hii ndo baby shower

  ReplyDelete