CHAKULA CHA MCHANA NA ALYNA CATERING SERVICES

 MIE HUYO NIKIJISEVIA!!!
 JANA NILIALIKWA CHAKULA CHA MCHANA NA ALYNA CATERING SERVICES, JAMANI SINA LA KUSEMA CHAKULA KILIKUWA KITAMU SANA NILIKULAJE, ALYNA NI WAPIKAJI WA VYAKULA KWENYE SHUGHULI ZOTE UNAZOJUA WEWE, PIA HUDUMA NYINGINE WANATOA KWENYE OFISI MBALIMBALI KWA YALE MASHIRIKA YANAYOTOA CHAKULA KWA WAFANYAKAZI WAO, HAKUNA HAJA YA KUWA NA CANTEEN MNALETEWA BUFFE OFISINI
WANAPATIKANA:: REGENT ESTATE
MAWASILIANO:: +255 717 836 003, +255 783 709 393

 WAFANYAKAZI WA ALYNA CATERING WAKIWAJIBIKA...!!!

AINA YA VYAKULA
 SAMAKI NA KUKU, WAMEKOLEA VIUNGO
 PASTA ZILIZOCHANGANYWA NA SAUSAGE
 VIAZI VYA KUKAANGA
 WALI WA NJEGERE
 KISAMVU CHA KARANGA!!
 MBOGA ZA MAJANI CHINESE
 KACHUMBARI
 HARAGE LA NAZI
 MCHUZI WA NAZI NA NYANYA CHUNGU
 NYAMA ZINAZOPIKWA KWENYE FOIL NA CHAPATI

Post a Comment

6 Comments

 1. mhh bon apetit(chakula chema)inaelekea kitam sana hasa hilo haragwe

  ReplyDelete
 2. Hi aunt Helen inabidi uiprove pic quality bado si nzuri either u change camera au sijui hiyo picha yako hata huonikani vizuri

  ReplyDelete
 3. mbona unajichubua sana mummy,be proud with ur natural skin

  ReplyDelete
 4. huyu hajichubui muangalie mikono yake hasa vidole na uso vinarangi moja joto tu!

  ReplyDelete
 5. Da aunty ukienda tena unipick na mimi hicho chakula kizuri kweli kinatia hamu ya kula.

  ReplyDelete
 6. Da aunty ukienda tena unipick na mimi hicho chakula kizuri kweli kinatia hamu ya kula.

  ReplyDelete