GUSAGUSA MIN BAND!!!!

UKUMBI UMETULIA FULL KIYOYOZI NA VITI VYENYE HADHI
 GusaGusa 
OLD IS GOLD
NI WALE WAPIGAJI KINANDA NYIMBO ZA TAARAB ZA ZAMANI, SASA WANAPATIKANA COLOMBIA NIGHT CLUB (ZAMANI TROPICAL) CONGO/AGREY STREET KARIAKOO SIKU YA JUMAPILI KUANZIA SAA 3 USIKU KIINGILIO SHS. 5000 KWA WANAUME NA LADIES FREE!!!!!!!!, BEND YA GUSAGUSA PIA WANAKODISHWA KATIKA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE SINGO, AQDI, KITCHEN PARTY
MAWASILIANO::+255 713 434 342
ZAMA NDANI KUONA WAPENZI WA GUSAGUSA....!!!

BIG SCREEN BIG SOUND WITH DSTV MIPIRA YOTE HAPA UNAONA KWA KIINGILIO KILE KILE!
WAIMBAJI WA GUSAGUSA WANATIKISA NYOYO ZA WAPENZI WAO!!
 BI ASYIA
 UKIGUSWA WATUNZA TUU, MPAKA UJUE MAANA
 MZEE, AKIIMBA WIMBO WA ASUUUU!!
 LEO TENA!!! NIMEPOKEA SALAMU ULIZONITUMIA KWA SASA UNA HAMU MAPENZI KUYARUDIA.....!!! WALLAH NINA WAZIMU WEWE KUKUREJESHEJEA, NIMEMPA MWENYE NIDHAMU......!!!!
NYUSO WAPENZI WA GUSAGUSA
 BILAL MASHAUZI NA CREW YAKE

 

HAFIDHU
GUSAGUSA WANAPATIKANA LANGO LA JIJI, SIKU YA JUMAMOSI KIINGILIO SHS 5000/= KUANZIA SAA 3 USIKU! PICHAZ ZA LANGO
NURU FAROOQ

HASSAN FAROOQ & PHONI
WAKURUGENZI WA GUSAGUSA MIN BAND


Post a Comment

0 Comments