JAMIMA'S NIGHT @ PJ HALL KINONDONI

JAMIMA AKIINGIA UKUMBINI
MWARI WA REHEMA MNTAMBO AKIINGIZWA UKUMBINI HUKU CHAMPGNIE ZIKIFUNGULIWA, HAPANA CHEZEA WATOTO WA SALMA MNTAMBO, BONYEZA KITUFE KUONA ZAIDI....!!!

JAMIMA AKIRUSHA ROHO!! LAKINI MWARI HUYU NIMEMPENDA MSTAARABU SANA, REHEME UMEPATA MWARO MDOGO WANGU..!! NA MWARI KAPATA SOMO
MC GEA HABIB
GEA NI MC WA UKWEE'E HANA MALONGOLONGO YAKUCHOSHE, YEYE ANAKWENDA NA PROGRAM YA SHUGHULI NI NANI ASIYEMJUA? MPENI KAZI, MIE NAPENDA ILE SAUTI YAKE!!

JAMIMA ABDALLAH!!

HINA HINARE ANAVYOJISEMEA SHOSTITO WANGU TAHIYA!!
Decor..!!
Cake & Champgnie 
MWARI ALIANZA KUTONSI NA SOMO YAKE REHEMA, HESHIMA KWA SOMO
JIKEKI, MWARI NYUMBA MUHIMU MKAZIJENGE NA MUMEO
JAMIMA AKIKATA CAKE
WALILSHANA NA MAMA MZAZI
MAMA MLEZI SALMA MNTAMBO, A.K.A INJINI YA JIJI, MLEZI WA WANA, UKIMUITA MAMA NAYE ANAKUITIKA MWANANGU
MWARI NA SOMO WAKILISHANA CAKE
Zawadi
MAMA MZAZI ALIMKABIDHI MWANAYE BEDROOM SET NA MAZAGAZAGA YA JIKONI
ALIFUATA DADA YAKE BI HARUSI NA MASHOSTITO WAKITOA ZAWADI
DAMU NZITO KULIKO MAJI EEH!!!!!!!!

SANDUKU LA SOMO LIKIINGIZWA NA ZAWADI NYINGINEZO
SANDUKU LILIINGIZWA KWA MBWEMBWE KIBAO!!!
LATIFAH WEEEEE!!!
REHEMA MNTAMBO AKITAMBA NA NDUGUZE...!!!!
JOHA SIMBA AKIMSINDIKIZA MWANAYE SHURTI KWA KUBEBA CARPET
REHEMA MNTAMBO ALIMKABIDHI MWARI WAKE MASHUKA YA UKWEE'E THELANI (30),  NA PAZIA NA CARPET

SASAMBU YA SANDUKU NI MARIAM & BAHI, SI UMEONA EEH KUOKOTA MINZUNGU
SAMEERA AKIMTUNZA DADA YAKE, DAMU NZITO KULIKO MAJI
MWENDO MDUNDO MWALI WA SAIDA KANYAU KUOKOTA MINZUNGU
SISTERS!!!
DADA WA BIHARUSI AKITUNZWA NA MASHOSTITO!
WALIONGOZWA NA FAIZA MTOTO WA SAIDA KANYAU, HAPANA CHEZEA KAMA MAMA VILE...!!
MASHOSTITO TOKA DUBAI JOHA NDANI YA NYUMBA...!!
JACQULINE WOLPER NAYE AKITUNZA..!!
UMEWAONA EEH!!
SOMO YAKE REHEMA, MAMA ARAFA TAMBA JAPO HAKUWEPO ALITUMA WAWAKILISHI WASTAARABU WANA MJI WAO!!, WALIANZA KUMTUNZA VITENGE
KISHA WAKAMWAGA MAHELA
UNATAMBAJE REHEMA!!!
ILIKUWA BALAA TUPU
Cheza
WANA WA KIBAO KATA
MBANGE AKITUNZWA SI UNAJUA SAUTI..!! SHURTI UGUSWA
KINANDA CHA MBAGE WAKITUPA RAHA
WATU WALICHEZAJEE ILIKUWA VERY COOL IMECHANGAMKA KISTAARABU
MWALI NA SOMO HAPANA CHEZEA WANAPENDANAJE!!
BARUA!!! MAMBO YA MARIAM MNTAMBO
MC GEA HAKISEREBUKA, RAHA YA SHUGHULI KUCHEZA
Chakula
NYUSO

UKEWENZA KAZI KWELI KWELI


Red Carpet
DESIGN BY JOHA SIMBA

GEA MC WA UKWEE'E, DESIGN BY JOHA SIMBA
SALHA
SOMO NA MWARI ,MWARIKWA
SwagaPost a Comment

3 Comments

  1. Shughuli inaonekana ilikuwa nzuri sana mana watu walipendezaje na sare yao. Nimependa sana iko classic

    ReplyDelete
  2. masha allah naona mambo ya bongo yametulia

    ReplyDelete
  3. jamani mima anaolewa allihamdulillah inshallah m/mungu ampe kila la kheri kwenye safari yake hii njema amfungulie njia iwe salamaa jamani miss uu mima my gallllllllllllllllllll

    ReplyDelete