KIJACHO:-AQDI YA SHILLA & MBARAKA!!!

HINTS:
PICHA ZA ALBAMU NA VIDEO NI KUMBUKUMBU KUBWA YA HARUSI YAKO KATIKA MAISHA YAKO, KWA HIYO USICHUKUE WAPIGA PICHA WA MITAANI WENYE VIKAMERA WAKAARIBU PICHA ZAKO AU VIDEO TAZAMA PICHA HIZI NA UKIPENDA KAZI YETU MAWASILIANO.: +255 714 962 354/0758 266 701
TUTAKUPA PACKAGE NZURI NA YAKURUSHA SHUGHULI YAKO!!!
 NDOA IKIFUNGWA


 SIGNATURE!!!
MASHALLAH!!! SHILLA PENDEZA ILE MBAYA!!
WADAU WA MASHUGHULI PATA PACKAGE YETU YA STILL PICTURE NA KURUSHWA BLOGUNI PIGA SIMU NO.: 0714-962 354, 0758-266 701
 BW. MBARAKA AKIMTAZAMA MKEWE KWA MAHABA!, PEMBENI NAMUONA SH. MHANDO!!

 MAU, MC WA UKWEE'E KATIKA SHUGHULI HASWA ZILE ZA KIDINI, RAFIKI YANGU MAULID!!!
MASHOSTITO'S PAMOJA NA SOMO WA UKWEE'E

MKAO ULE ULE PICHA ZAIDI INGIA TOKA NAIPENDAJE!!!

Post a Comment

5 Comments

 1. manshalaah bibi harusi umetokelezea hapo bwana mbaraka haamini huyu mwali namiliki kila la kheri kwenye ndoa yenu wapenzi mambo ya aqdi yana ladha yake harufu ya ubani burudani ya kasda ndoa ina raha yake

  ReplyDelete
 2. hongera maharusi all da best kwenye maisha yenu ya ndoa.mwezi wa kwaresma ndugu zetu wakristo wanaomboleza matesa ya bwana wetu yesu kristo harusi ni mpaka baada ya pasaka

  ReplyDelete
  Replies
  1. sasa mateso ynahusianaje na harusi ?cha hizo mdau kila mtu na dini yake

   Delete
 3. Bwana na Bibi Harusi Congrats sana, mmependeza Mashallah Mwenyezi Mungu adumishe ndoa yeanu Inshallah!

  ReplyDelete

 4. Jokha Simba is the best designer in town, no one can beat you! keep up the good job Mamama!

  ReplyDelete