KITCHEN PARTY YA ZAHRA HOLLACKY

Venue:: Stereo Kinondoni
Entertainment:Rusha roho
Colour:: Orange & Green
MC:: Muuu


ZAHRA ALIVAA NGUO MBILI, HAPANA CHEZEA......ZAMA NDANI KUONA ZAIDI!!!


NGUO YA PILI, KAVISHWA NA SOMO KIJAKAZI
 SOMO NA PAMBE YAKE WAKIMUINGIZA ZAHRA BAADA YA KUBADILI

DECOR

ZAWADI
CHAMPGNIE & CAKE
MC MUUU AKIFUNGUA CHAMPGNIE, YEYE NDIO ALIONGOZA SHUGHULIZAHRA AKIGONGA GLASS NA MAMA MZAZI
CAKE
KEKI UMBO LA KITANDA MUHIMU

ALIMLISHA MAMA MKWE WAKE KWANZA!

SOMO KIJAKAZI AKIPEWA KIPANDE CHA KEKI
MAMA NAYE ALIPATA YAKE

CHEZA


ZAWADI
NYUSO
RED CARPETPost a Comment

2 Comments

  1. ZAHARA KAPENDEZA LAKINI SIELEWI KWANINI HANA TABASAMU HATA AKIPEWA ZAWADI KAA. PICHA CHACHE MNO AMETABASAMU NA TABASAMU LAKE ZURI UTANDANI KALAZIMISWA KUOLEWA . MASOMO WAFUNDISHENI WALI WENU TABASAMU

    mASHUGHULI ITOE HII SIELEW KWANINI UNABANIA AU BORA UONDOE TUSICOMMENT

    ReplyDelete
  2. KWELI BI HARUSI AMEPENDEZA SANA, SWALA HAPA SI MASHUGHULI KUHUSU TABASAMU, HII NAFIKIRI TUWACHIE MASOMO WAKATI WAPO NA HAWA WARI WAO KUHUSU TABASAMU KWELI NI MUHIMU WEWE KAMA SOMO UNAWAJIBIKA NA HILI WAMBIE MAHARUSI WENU TABASAMU JAMANI MUHIMU, MASHUGHULI ATAMWAMBIA BI HARUSI SMILE MARA MOJA TU PALE HAWEZI MARA ZOTE KUONGEA NA HUYO BI HARUSI KWELI HII NI KAZI KWELI KWELI

    ReplyDelete