MWANAMITINDO MAHIRI MILEN MAGESE ASAIDIA ELIMU MKOA WA MTWARA MILIONI 15

MWANAMITINDO MAHIRI WA KIMATAIFA AMBAE PIA ALIWAHI KUWA MISS TANZANIA MWAKA 2001 MILLEN MAGESE JUZI ALITOA MILIONI 15 KUSAIDIA ELIMU KWA SHULE YA MSINGI YA MJIMWEMA NA LILUNGU ZA MKOANI MTWARA.

MILLEN ALIKABIDHI MSAADA HUO KWA WA MKUU WA WILAYA YA MTWARA WILLMAN NDILE HUKU AKISHUHUDIWA NA MBUNGE WA MTWARA MJINI HASEIN MURJI PAMOJA NA WADAU WENGINE WA MAENDELEO MKOANI HUMO.

MILLEN AKIKABIDHI HUNDI YA MILIONI HIZO 15 BAADA YA KUTEMBELEA SHULE HIZO NA KUJIONEA HALI HALI ILIVYO ALISEMA KUWA MSAADA HUO NI KUTIMIZA AHADI YAKE ALIYOIWEKA SIKU MOJA ANGEENDA MKOANI HUMO NA KUSADIAMASUALA YA ELIMU....KUSOMA ZAIDI INGIA ELIMUBORATANZANIA BLOG  BOFYA NDANI KUONA PICHA ZAIDI......
Post a Comment

0 Comments