ONJA:: KITCHEN PARTY YA ZAHRA HOLLACKY!!

 BI HARUSI ZAHRA AKIWA NA SOMO YAKE PAMBE KIJAKAZI, SOMO UKO JUU NYONGA YA MWALI IMELAINIKA KAMA IMETIWA OIL VILE, HAPANA CHEZEA!!
ASHURA HOLLACKY NA MWANAYE ZAHRA!!
ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

NYUSO
SURA MPYA ZAONEKANA HAPA BLOGUNI 

SOMO NA PAMBE YAKE

RED CARPET
 ZAINABU AU MAMA LULU
 SAKINA MASHAUZI & NASRA MAMA YA CONTAINER!!
 HIDAYA HOLACKY
 SWEET BABY, MIE NIKIWA SHUGHULI ITATOKEA MTU AKANIVUTIA KUTOKANA TABIA YAKE SANA!, BASI LEO NI HUYU HAPA!!!
FAMILIA YA HOLLACKY .

Post a Comment

3 Comments

 1. KP ya Zahra imependeza nimependa rangi zake,maisha mema swtheart

  ReplyDelete
 2. mmependeza sana wifi zangu ilukuwa poa ila sijamuona mama yousuf a.k.a mrs hollacky

  ReplyDelete
 3. Hongera mdogo wangu nimeona ilikuwa babu kubwa wapi Mamaa Hamza kata ya Zakhem ahahahhahaha all the best mdogo wangu.

  Rose

  ReplyDelete