RECEPTION WEDDING ZAHRA & SALUM

Venue:: PJ HALL-KINONDONI
Entertainment::DJ DUME
Colour:: APPLE GREEN, PINK & WHITE
MC:: CLOUD - +255 784 620 962, 713 620 962


MAARUSI NA WAPAMBE WAKIINGIA UKUMBINI..!!!
ZAHRA NA MUMEWE WALIVAA NGUO MBILI TOFAUTI, HAPANA CHEZEA...!!!MWENYEKITI WA KAMATI MAMA MAYA LULU AKIWAKARIBISHA WAGENI WAALIKWA!
 SALUM & MAYA WAKIINGIA BAADA YA KUBADILI NGUO


MC & MUSIC
MC NI CLOUDS, AKIWA NA DJ DUME HAPANA CHEZEA!!!
DECOR....!!!

CAKE & CHAMPGNIE
JIKEKI LA UKWEE'E

NILISHE NIKULISHE NDIO ISHARA YA UPENDO
MAARUSI WAKIPELEKA KEKI PANDE ZOTE MBILI

MWENYEKITI WA KAMATI, MAMA MAYA LULU AKIPOKEA KIPANDE CHA KEKI KAMA ASANTE KWA KAZI KUBWA!!!
HAPA MAARUSI WAKINYANYUA GLASS CHEERS, HAYO NI MAMBO YA MC CLOUD HAKUNA LONGOLONGO ZA KUGONGA GLASS!!
MAMA MAYA LULU A& DOTNATA WAKIFUNFUNGUA CHAMPGNIE

ZAWADI
HII NDIO KAMATI NZIMA WALIOFANIKISHA SHUGHULI CHINI YA M\KITI MAMA MAYA LULU
MAMA MAYA LULU KAMA M\KITI AKIKABIDHI SHS. 500,000/= KWA WANANDOA SALUM & ZAHRA KAMA KIANZIO CHA MAISHA..!!
CHEZA

 MAARUSI WAKIFUNGUA MUZIKI
HAPANA CHEZEA DJ DUME HATA KAMA UGUSWI NA NYIMBO UTACHEZA TU


BI HARUSI ZAHARA AKIDUARIKA
HAPA WAHAYA WAKICHEZA NGOMA ZAO SIJUI NDIO INAITWA DEREVA BABI, NAIPENDAJE HIYO NYIMBO
MAMA YAKE ZAHRA AKICHEZA!!!
KWAITO YA SALUM & ZAHRA, ITABIDI NA MIE NIJIFUNZE...LOL!!


HAPANA CHEZEA MAMA MAYA LULU UKO JUU PICO YA UKWEE'E NA GUU JE??
NYUSO

SOMO NA WAPAMBE WA UKWEEE'E ALHANISA NDANI YA NYUMBA
MAMA NA MWANA!!!


SOMO NA MAARUSI
UMEWAONA MASOMO EEH!! WALIPENDEZAJE??

SOMO UMEMUONA EEH!!!

RED CARPET


THE ONE ONLY MAMA WA MASHUGHULI, TUNAWAKILSHA
STRESS FREE!!!


Post a Comment

8 Comments

 1. MBONA STRESS FREE,KIATU MCHUBUKO. BI HARUSI KAPENDEZA ILA NADHANI KALELEWA KTK MAADILI YA HESHIMA ALIKUA MUOGA HATA TABASAMU HAIKUWEPO WAPENI KUNGU MAHARUSI .RED CARPET WAYA ZITAWAANGUSHA WATU PITISHENI WAYA CHINI . SARE NZUR ILA RANGI KALI MNO

  KUJICHUBUA MPAKA TUNAPOTEZA UZURI MISTARI KIBAO MWILINI

  ReplyDelete
  Replies
  1. kweli wanajichubua mpaka wametisha loh.

   Delete
 2. izo skuna hapo chini zimenikumbusha mbali jaman daa wanawake wengi uwa tunajali nywele uso nguo ila sio nguo za ndani na viatu na ngozi ya mwili sijui kwann tupo ivi sie wanawake wa kiswahili utakuta mtu katupia kweli uso unawaka ngozi ya mwili imepaukaa kiatu kimeenda upande mwee tubadilike jaman uso unavongaa na mwili uwe ivo nguo inavokua nzuri na kiatu kiwe ivo wapendwa

  ReplyDelete
 3. Mashaallah bi harusi amependeza.

  ReplyDelete
 4. hongera kaka yangu mmependezaje, mama mashughuli aminia kwa picha nzuri sana, hiyo picha ya mwisho nimeipenda sana aminia. by navo

  ReplyDelete
 5. dat good aiseee ilipendezajeeee

  ReplyDelete
 6. nimekupenda umependeza mama mashughuli.....rangi zilikuwa kaliii iala maharusi walitoka bomba mbaya, make up za baadhi ya waalikwa sikuzipenda hazikufanania na ngozi all in all harusi inaonekana ilikuwa booomba

  ReplyDelete
 7. Post yako ni ya kuvutia sana, naona harusi picha yako kisha hisia zangu ni nzuri sana shukrani kwa kushirikiana hii post, kazi kubwa.

  ReplyDelete