SHILLA KASSITA BRIDAL SHOWER

VENUE:: KARIMJEE GROUNDS
COLOUR:: RED, BLUE & YELLOW
MC:: JAMILA KITIMTIM
STILL PICTURE:: +255 714 962 354 (PATA PACKAGE YA STILL PICTURE NA KURUSHWA 
                                                               SHUGHULI YAKO MASHUGHULI BLOG)
Mama mzazi wa Shilla aliingia na kina mama wenzake, akiimba naangaika eeh!! naangaika na uzazi wangu!!
Watu pendeza ile mbaya......!!!
HIVI NDIVYO WAALIKWA WALIVYOINGIA KARIMJEE SIKU YA JUMAPILI, HAPANA CHEZEA BUSINESS WOMEN!!!!!, SHUGHULI ILIKUWA PAMBE, KILA KONA MAMBO YAMEKAMILIKA!!!, MIBURUZO ILITAWALA....,  ZAMA NDANI UONE PICHA ZA KUMWAGA ASIKWAMBIE MTU JIONEE MWENYEWE!!
SHILLA AKIINGIA!!!
Paparazi!!!!
Shilla
KWA PICHA KAMA HIZI WASILIANA NASI +255 714 962 352/+255 758 266 701
SPECIAL PACKAGE YA PICHA ZA ALBUM NA KURUSHWA SHUGHULI YAKO BLOGUNI
WANAKAMATI

HII NDIO KAMATI ILIYOKAMILISHA MAMBO MKO JUUU, WATU WASHINDWA HEINEKEN & SAVANNAH.....!!!
MC JAMILA KITMTIM AKISHEREHESHA, KUYAWEZA ANAWEZA
DECOR....!!!

SHUGHULI ZA UKWEE'E LAZIMA KADI UPRINT SILMAL INVESTMENTS
HIGH TABLE YA BI HARUSI, NO MAKOROKOCHO SIMPLE BUT EXPENSIVE!!
MEZA YA ZAWADI
CAKE
Niliipenda sana cake imetuliaje??
CAKE VERY CLEAR HAINA MAKOROKORO...!1
  SHILLA AKIMLISHA MAMA MZAZI
MAMA NAYE ALIMLISHA MWANAYE
MAWIFI WAKIPATA KIPANDE NA KAKA NAYE AONJE EEH!!
ANGEL, AKIPOKEA KEKI KWA NIABA YA BUSINESS WOMEN WENZAKE!!!
 
CHAMPGNIE ILIKUWA MOJA TU...!! LAKINI YA UKWEE'E MOET!
SHEILLA ALIFUNGUA MWENYEWE CHAMPGNIE YAKE!!!
AKIMIMINA KWA AJILI YAKE NA MATRON
GHALINA & JENNY CHEERS!! MAJIRANI ZANGU WA ALYKHAN UPANGA ZAMANI!!!
HAPANA CHEZEA HUYU DADA ANA MIONDOKO YAKULE KWETU KABISA, HURU JUU
JOAKINA
ROZELLA!!!
NYOTA!!
MAMA SAIDA KANYAU, RAISI WA CHINA, WEWE NDIO WEWE NA UTABAKI KUWA WEWE MIAKA MIA!!!
ENTERTAINMENT
Bridal Shower ya Sheila ilifunikiwa waimbaji mastaa wa Tanzania ndani ya nyumba, Khadija kopa, Isha Mashauzi & Nyota ni staa gani kafunika kwa kutunzwa na kaimba kiduchu tu
Khadija kopa akitoa manjonjo yake si mnajua eeh!! MALKIA
Watoto ya Daresalaam Rose & Sharrifa wakitunza hapana chezea!!!
Nyota alikataa kuimba akidai mambo yote hapo Hellenic Jumapili wana wa njenje!!!
unajua wananogewaga eeh!!
Hadija Jackson unateremka eeeh!!
WAALIKWA WAKIJIRUSHA KWA RAHA ZAO!!
Tunza na Zawadees
Mama ndio alianza kutoa zawadi ya kistaarabu imefungwa eeh!! wastaarabu wana mji wao!
wafanyabiashara wanzake Shilla wakiongozwa na mama angel Mlay mama ya china tokea enzi hizo!!!
Maya wa Maya Saloon akienda mtunza shostito Shilla
akimkabidhi cheque ya million moja, hapa chezea watoto wa Mwanahamisi Chamganda Nyakanga mkuu
wapambe muhimu kwenye hii game!!!
Sharrifa Kavu, Business woman zawadi imefungwa kistaarabu
kutamba hapa ndio kwao!
Happy Baghdella akienda mtunza shiti wake wa ukwee'e Shilla, pambe ya ukwee
pambe ya Happy wakimpa kampani kila mmoja kashika msimbazi mkononi
Shosti wangu lako langu eeh!!!
Happy alitambaje?? na kapendeza make-up imetulia, nguo mburuzo wa ukwee
Mawifi wakienda tunza chao!
Tisha Nyota na Salma, kwanza walimtunza Isha dollari
walitandika carpet chini wakaanza toa mauno, umemuona somo wa masomo Nyota?
familia ya mume mtarajiwa
Wakati Shilla akimtunza mama yake Isha aliimba live ilikuwa suprise kwa Shilla

Hakuna choyo Khadija Kopa akimtunza Isha!!!
Shilla alimtunza Isha kwanza!!
alimkabidhi pesa maburungutu mawili hakuna kutoa moja moja muda muhimu!!
mtoto kwa mama hakui, lovely picture
Shilla alimshukuru mama yake na kumwambia ni mwanamke shupavu!!!
Shilla, mama na mdogo wake!!
Wanakamti wakikabidhi cheque yao, chini ya M/kiti Rose, hakuna kilichoharibika
soma hapo 5,000,000/=
CHAKULA
Shilla akiwakaribisha familia ya mume wake mtarajiwa kwanza, heshima kwa mume!!!
Nyuso
Hapa wadau ni noooooma, nyuso zimekubali make-up
Pretty Face!!
Hasina Kawawa, Maimuna Bayu & Miriam Aziz
Sharrifa Kavu na mashostito pendeza eeh!
Nunu Sagaaf & friends
Maya na kampani yake!
Mama na mwana
Happy & Celina Koka full kampani
Happy raha tele moyoni!!!!
Happy, Mwajuma & Mrs. Koka
Mimi huyo na Raisi wa China mama saida Kanyau, kaa na waridi
Aisha Mtengeti Yaliomo Yamo Boutique & friends, mwanamke wa kisasa Business tu!!
Nana Kanyau, Tima & Friend, Nana mie make-up tu umtamu!!!!
Hapana chezea Nana KANYAU, you look mwaaah! unafata nyendo za mama eeh!! Always on top!!!
Hekal, Shilla & friends 
Mishy & Shilla
mama na uzazi wake mwenyewe!
Kwenye shughuli inatokeaga nampenda mtu, hapa ni huyu alipendeza sana nguo na kiatu OMG, utamcheki kwenye Red Carpet
Ketende Simba mama wa MADINI KG
PAMELA PENDEZA EEH
Hadija Jackson
Sharrifa Kavu kijuso kimetulia
Rehema Kiluvia
Diva Devota & friends
Boss Shani & Vero mama wa Vero Saloon
Fatuma Kimario, Joakina & Rozella
Business Women Carol Kirita & Friend
SUPER STAR, Salma, Nyota 
Mama Kibunju, stunning Lady
Sharrifa Hashimu
wapendanao!!
Asila, mdau wangu wa ukwee'e pendeza eeh!!
Rose & Saida, Business Women
Jack Mafuru & friends
Diva Devota
Zindo & friends
Red Carpet
SHARIIFA KAVU

ROZELLA
HAPPY
CELINA KOKA
MIRIAM AZIZ
HASINA KAWAWA

HADIJA JACKSON
SHARRIFA HASHIM
SAIDA KANYAU
MISHY
KATENDE SIMBA
REHEMA KILUVIA
SHARRIFA
TIME
ANGEL MLAY
NANA KANYAU
AISHA MTENGETI
PAMELA
MY GAL!!!
VERO
NURU PENDEZA EEH
AISHA & HADIJA
MIE HUYO NA SCHOOL MATE WANGU SELINA KOKA
ROSE, SHARRIFA & MAGE
MC-JAMILA KITMTIM, JEMBE LANGU!!!
SAADA
JENNY
SWAGA's
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


Post a Comment

8 Comments

 1. wastaarabu wageni wote hakuna mali nje nje nikimaanisha manyonyo,na kila mtu kapendezaaaaaa,mhhhh!na mama harusi mtu mzima lakini kisura kweli ,mama mungu akueke akupe furaha ya milele,helen umependeza kama kawaida yako nawe makup yako nzuri kweli,

  ReplyDelete
 2. Maharusi wamependeza sana bila ya kuwasahau ndugu zangu wa A-Town - Sheila Bandi wa Dangwailoi, Maimuna Bayu na
  Da Hekal. God bless you all. x

  ReplyDelete
 3. Wamependeza wote ila bi arusi nywele hajatendewa haki,huyo mpambaji hakuangalia sura ya bi arusi?any way nguo ya biarusi ni nzuri sana lakini nywele big NO

  ReplyDelete
 4. Manshaallah,watu wamependeza sana na kwenda sawa na colours......hongera da Shila n wish u all tha best....

  ReplyDelete
 5. usitupotoshe.Huyu dada anaitwa LULU KILUVIA.Rehema ni mdogo wake lile jeusi nene.

  ReplyDelete
 6. ugonjwa wa taifa vitambi nguo zao nzuri ila vitambi sasa

  ReplyDelete
 7. HUYO DADA KAPAMBWA KAWAIDA SANA MPAKA WAGENI WAALIKWA WAMEMFUNIKA KWA MAKE UP.GAUNI YAKE NZURI

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mpenzi,makeup zina pangiliwa kutokana na yeye ana shuhuli ngapi,Hawezi kua na 2much make up since bridal,ndoa na reception.....Lazima ya kwanza iwe simply n stunning like she was,uzuri mashughuli ana parts zote tazama uone tofauti zake.....

   Delete