TRUDY'S INTIMATE APPAREL TIP - WHY WOMEN SHOULD WEAR COTTON UNDERWEAR??


JE UNAJUA UREMBO WA MWANAMKE UNAANZIA WAPI?, PATA SIRI YA KUWA MSAFI...!!! HUWEZI PATA HAYA KOKOTE ZAIDI YA TRUDY'S

JE, UNAJUA KUA KWA KUVAA CHUPI ZA COTTON UNAPUNGUZA MIWASHO, HARUFU NA DISCHARGE CHAFU KWENYE "VEJAAY JAAY" YAKO?

HII NI KWA SABABU CHUPI ZA COTTON ZINAPUNGUZA UNYEVU UNYEVU SEHEMU ZA SIRI NA KUFANYA ENEO HILO KUPUMUA. KWENDA NA FASHENI MUHIMU ILA CHA MUHIMU ZAIDI NI MWANAMKE MREMBO AWE NA CHUPI ZAKE KAZADHAA ZA COTTON MAANA ZITAMFANYA AWE COMFORTABLE NA MWENYE "VEJAAY JAAY" YENYE AFYA HASA KIPINDI CHA PERIODS!!

KUSOMA NA KUONA ZAIDIA WATEMBELEE TRUDY'S INTIMATE APPAREL BLOSPOT

MAWASILIANO:: +255 653 005 544

WANAPATIKANA:: MWENGE NYUMA YA JENGO JAMIREX KABLA HUJAFIKA TAMAL HOTEL

Post a Comment

0 Comments