WANAFUNZI WOTE WALIOSOMA KIBOSHO GIRLS SECONDARY!!!!KWA WANAFUNZI WOTE WALIOSOMA KIBOSHO GIRLS WANATAKIWA KATIKA MKUTANO UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2 MACHI 2013 KATIKA KLABU YA BRAJEC  TPDC FLATS MIKOCHENI KUANZIA SAA TISA MCHANA. TAFADHALI ATAKAYESOMA UJUMBE HUU AMTAARIFU MWINGINE. TANGAZO  LIMETOLEWA NA MWENYEKITI DR FLORA ISMAIL.

Post a Comment

0 Comments