AQDI YA SHILLA & MBARAKA

AQDI YA SHILA & MBARAKA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI 
 
Decor...!!!

 Aqdi ikifungwa 
MAULID MC MKUBWA SHUGHULI ZA KIDINI
NDOA YA SHILA NA MBARAKA ILIFUNGWA NA SH. MHANDO
BWANA MBARAKA AKIKABIDHIWA SHILA
Bwana Harusi akimpa mkono mkewe
DUA KWANZA KABLA YA KUMFUNUA MKE
MMEONA EEH
MBARAKA AKIMVISHA PETE SHILA, YOU ARE MINE FOREVER!!
AZAMA NDAMA SOMO NAKUONA KWA MBALI
SHILA AKIMVISHA PETE MUMEWE MBARAKA
HAKUNA UBISHI TENA MAMA KAPATA BABA, BABA KAPATA MAMA
WAKO NA RAHA EEH!!!
KISS OF JOY!!!

Nyuso
SALMA & LILIAN KESSY NA MAARUSI
MAHALAT WA JIJI LA DAR
SOMO YAKE BI HARUSI SHILA AZAMA NDAMA
SOMO NA MWARI
SISTERS-REHEMA & SHILLA
HAPPY AND SHOSTITO

RED CARPETSHARRIFA KAVU & SHOSTITO, NGUO ZAO DEISGN BY JOHA SIMBA

Post a Comment

4 Comments

 1. Hongera sana shila,mungu akujaalie mume bora mwenye huruma upendo,huyo ni wako umlee kama yeye kama mtoto wa kwanza dear,ulipendeza saaaaaaana na hongera nakutakia ndoa yenye amani furaha na upendo sikuweza kuja watoto wanaumwa lakini tuko pamoja by Tashah Quality kariakoo na tabata shuleni.0773644633

  ReplyDelete
 2. MASHAALWAH MOLA AKUJAALIE NYUMBA YA KHER NA AKUJAALIE MWANA MWEMA ALIYE TUMBONI . NENDA UKAVUMILIE MWANA NYUMBA MAKUTI YA KUUNGA SIUNAONA HAWAJAALIWI VIJANA NDOA ZATUJIA TUSHAKUWA WATU WAZIMA. MIE YANGU INA MWAKA WA 15 ALHAMDULILAH NA NAIHISI KAMA MPYWA KWANI UKIWA KARIBU NA ALWAH YOTE YAKAWAIDA .HAKUNA MKAMILIFU DUNIANI

  ReplyDelete
 3. Hongera mdogo wangu Shila.i wish you all the best.malembeka

  ReplyDelete
 4. hongera umependeza sana ndoa si lelemama namuona somo yangu sharifa kavu pendeza sana chezea mwanamke huzeeki kisura cha utoto ha ha ha ha

  ReplyDelete