GUSAGUSA MIN BAND WEEKEND HII

 BI HAFUA AKIIMBA "JIDODO"
NI WALE WALE GUSAGUSA MIN BAND "OLD IS GOLD" PICHA CHACHE ZA WEEKEND HII NDANI YA UKUMBI WA LANGO LA JIJI, ZAMA NDANI KUONA WAPENZI WA GUSAGUSA WANAVYORUSHA ROHO....!!
RATIBA YAO YA WIKI
JUMATANO-MAX BAR ILALA
JUMAMOSI-LANGO LA JIJI MAGOMENI
JUMAPILI - LADIES FREE, UNAPISHWA MLANGO KAMA QUEEN-KARIAKOO CONGO STREET COLUMBIA ZAMANI TROPICAL
GUSAGUSA PIA WANAKODISHWA KWENYE SHUGHULI KAMA KITCHEN PARTY, SINGO UKIWAHITAJI WASILIANA NAO +255 713 434 342

 EASTER MPENZI WA GUSAGUSA AKITUNZA!! MPAKA UGUSWA NA MASHAIRI!!
 TANISA MWAIBULA, HAPANA CHEZEA!!!
 ZAMARADI MDAU NAMBA MOJA WA GUSAGUSA
 TANISA NA MASHOSTITOS
 NURU FAROOQ AKIWA NA MUIMBAJI WA GUSAGUSA!!
MOODY LUMELEZI

Post a Comment

0 Comments