HARUSI TRADE FAIR DAY ONE!!!!

 LEO NI SIKU YA KWANZA YA MAONESHO YA HARUSI KUANZA, YATAENDELEA KWA SIKU MBILI MFULILIZO MPAKA SIKU YA JUMAMOSI, MDAU NI WAKATI MUAFAKA KUONA HUDUMA MBALIMBALI ZITOLEWAZO NA WAJASIRIAMALI TOFAUTI HAPA JIJINI, USIKOSE BADO HUJACHELEWA!!!!!!
MAHALA:: VIWANJA VYA PARTHENON HALL AU HELLENIC CLUB
MUDA:: 10::00AM - 7PM
LYNNE COLLECTION
 BANDA LA LYNNE COLLECTION, WAO NI WAUZAJI WA NGUO ZA MAARUSI NA ACCESSORIES, HIGH QUALITY BRIDAL DRESS NA SUIT ZA KIUME, NGUO ZA MALAIKA AINA MBALIMBALI
WANAPATIKANA::  MIKOCHENI 'A'  REGENT ESTATE ALONG MIKOCHENI HOSPITAL ROAD
MAWASILIANO:: +255 715 884 467

              
 HAO NI LYNNE COLLECTION

RESPECT DJ's
 NI WALE WALE WAKALI WA KUWARUSHA KATIKA SHEREHE MBALIMBALI WANAKUAMBIA "BIG SOUND" SI MCHEZO WAKISHIRIKIANA PAMOJA NA MC LUVANDA, MTEMBELEE MC LUVANDA KWENYE WEBSITE YAKE UONE KAZI ZAKE NA UPATE MAWASILIANO NAYE BONYEZA LINK MCLUVANDA KWA MAWASILIANO YA RESPECT DJ'S INGIA SHEREHEYETU BLOGSPOT
 MC LUVANDA PAMOJA ABDALLAH KIMANGA MMILIKI WA RESPECT DJ'S NA SHEREHEYETU BLOGSPOT
 BANDA LA RESPECT DJ's
 ASIA KHAMSIN MAMA WA FABAK, MC LUVANDA PAMOJA ABDALLAH
ASYIA AKIPOZI NA VAZI LA HARUSI AMBALO MBUNIFU NI MUSTAPHA HASSANAL

MBEZI GARDEN HOTEL & CONFERENCE CENTER
 MBEZI GARDEN HOTEL WANAHUSIKA KWA HUDUMA ZA KUMBI, OUTDOOR CATERING DECORATION KWENYE EVENT MBALIMBALI NA CHAKULA!
MAWASILIANO:: +255 714 750 404
 HAIKA LAWERE MKUREGENZI MBEZI GARDEN HOTEL PAMOJA EDNA KUNDI WA EDNA'S PRINTING & SOUVENIRS FOR BOUQUETS OF BRIDAL 
 TABLE SETTING ZAO

KWA MAUA MANZURI YA BI HARUSI NA WAPAMBE WAKE WASILIANA NA EDNA'S PRINTING & SOUVENIRS FOR BOUQUETS OF BRIDAL WANAFANYA DELIVERY 
MAWASILIANO:: +255 653 626 012

G9D FASHIONS COLLECTIONS
 SPECIALIZED IN DESIGNING & ALL KIND OF CLOTHES
WANAPATIKANA:: TABATA AROMA
MAWASILIANO:: +255 713 890 271 
ACCESORIES PIA ZINAPATIKANA

BRAND HOUSE LTD
WANAPATIKANA Azikiwe St. Opp. NMB Bank

VODACOM

KIDS PARADISE Post a Comment

0 Comments