HK'S COLLECTION!!!!

ILE KIU YA WADAU WANGU SASA IMEKWISHA, NAWATAMBULISHA KWENU KIJIWE KIPYA CHA KUDARIZI BAZEEE, VITAMBAA NA VITENGE AU CHOCHOTE KILE UKITAKA DARIZIWA NI HK's COLLECTION, BAZEE HIZI ZOTE ZIMEDARIZIWA HAPA HAPA BONGO HAKUNA CHA KUAGIZA, UNAPELEKA BAZEE NA KAMA HUNA HK's COLLECTION PIA WANA VITENGE NA BAZEE ORIGINAL TOKA NCHI MBALIMBALI NA UNAWEZA KWENDA PALE PALE UKANUNUA NA KUDARIZIWA, KAMA NIJUAVYO MIE ILE SHUGHULI PAMBE YA WATU WA MUJI HUU INAKARIBIA, ILE SIKU YA KUVAA BAZEE KAMA SARE, USICHELEWE WAONE HK's COLLECTION. ZAMA NDANI KUONA MAUA TOFAUTI YA KUDARIZI.........!!!!

MAWASILIANO:: +255 715 555 525
EMAIL.:hmbamba@yahoo.co.uk

WANAPATIKANA:: KINONDONI BLOCK 41 PLOT NO.; 35 MAJI STREET (MTAA ZILIZOKO OFISI ZA DAWASO, NYUMA YA JENGO LA AIRTEL UTAONA SALOON YA HK's IMPRESSION.


Post a Comment

11 Comments

 1. Duh! Halima wewe ni designer ulikuwa wapi siku zote? Yaani hii ni fimbo ya mpingo!! will be there on Saturday.

  ReplyDelete
 2. Mhh kazi nzuri sana.Naomba kujua bei zikoje nikija nije nikiwa kamili kamili.

  ReplyDelete
 3. kweli darizi za ukweli, nami nitajitupa humo fasta!

  ReplyDelete
 4. NIMEZIKUBALI DEAR,KWELI HII NI MADE IN TANZANIA,PLZ TUPE BEI ILI TIKIJA TUSIRUDI MIKONO MITUPU.ONYESHA NYINGINE ZAIDI.MAANA HAPO NDO UGONJWA WANGU.

  ReplyDelete
 5. Halima uko juu kama wingu la blue nitakuja kukuunga mkono mwanamke mwenzangu. Hongera sana, Wanawake tunaweza. Nimependa hiyo sana hiyo ya Blue na hiyo Black very very nice

  ReplyDelete
 6. nikija nikukuambia mshono wa sharifa kavu naomba unielewe faster, nazisanya.

  ReplyDelete
 7. mashallah my darling sis Allah abariki kazi ya mikono yako,,amin,

  ReplyDelete
 8. Halima wewe ndiye yule uliyesoma Manka aisee kama ni wewe go MASESCO. Hongera nitakutafuta mwanangu

  ReplyDelete
 9. FIMBOOO CHAPAAA UKO JUU SIS..

  ReplyDelete
 10. nimeipenda kazi yako nzuri

  ReplyDelete