KIJACHO::JOKHA's BRIDAL SHOWER @ DANKEN HOUSE!!

THEME NI MCHUCHUMIO
 MASHALLAH!! JOKHA PENDEZA EEH!! KUANZIA HII YA KWANZA NA PILI AMINIA WA MJINI KWELIKWELI..!!! UNAENDA KWENYE SHUGHULI NAJIKUTA NAFURAIA PICHA UKIPENDEZA BWANA PICHA HAIONGOPI!!, NIMEKUONJESHA MDAU MAMBO NI MENGI NA YANAHITAJI NAFASI.....!! ZAMA NDANI KAMA KAWA!!!!!

 MAIDS WA JOKHA SI MCHEZO!! MAMBO YA KENTE
 NGUO YA PILI YA JOKHA, BEAUTIFUL!!!!
WANAKAMATI MUTU TANO TU, WAFANYA WONDERS, SI WALE WALE WA MJI HUU!!! JIITE WA MJINI NA MAMBO YAWE SAWASAWA!!!