JOKHA BRIDAL SHOWER!!!!

VENUE:: DANKEN HOUSE
ENTERTAINMENT::KINANDA & RUSHA ROHO
COLOUR:: BLUE, PINK & ORANGE (KENTE)
MC-KIDE

JOKHA AKIINGIA UKUMBINI, KAPENDEZA SANA!!
JOKHA AKIWA NA PAMBE YAKE WAMEPENDEZAJE?, KENTE YAVUTIA SANA SANA NA KWENYE BRIDAL SHOWER YA JOKHA KAFUNIKA KUANZIA YEYE MPAKA WAALIKWA, HAPANA CHEZEYA WA MJINI, NASEMA TENA JIITE WA MJINI NA MAMBO KAMA HAYA!! ZAMA NDANI UMUONE JOKHA NA NGUO YA PILI KILA MOJA INAMSHINDA MWENZAKE

JOKHA MASHALLAH!!
 
 
MC KIDE
NDIYE ALIYEONGOZA SHUGHULI HII, KAZI NZURI!!
DECOR...!!
 
 ZAWADI
CAKE
 JIKEKI
 JOKHA AKIKATA KEKI 
 ASANTE MAMA!!
 WIFI AKIPOKEA KEKI
 SHANGAZI AKIMLISHA BINTI YAKE
MIRIAM AKIPOKEA KWA NIABA YA KAMATI
CATERER
KWANINI USIPATE HAMU YA KULA??
JOKHA ALIBADILI NGUO BAADA YA CHAKULA
JOKHA AKIINGIA NA NGUO YA PILI SI MCHEZO!!
 
 
 
 SWAGA ZA JOKHA
ZAWADI
MAMA MZAZI AKISINDIKIZWA KUTOA ZAWADI
MAMA BAADA YA KUKABIDHI
MAMA MDOGO AKIPELEKA ZAWADI YAKE
MASHANGAZI TOKA FASI YA CONGO, HAPANA CHEZEA!!!
NILIMPENDAJE HUYU ANA KABABY FACE HIVI
SHANGAZI AKIONGEA KABLA YA KUTOA ZAWADI, ANASEMA HIVI KAMA HII MAMBO INAKUWA CONGO NI HATARII TUPU...!!!
UMEONA EEH!! MAX NA BAZEE ORIGINALLY
WAKAKBIDHI FRIDGE
SUMSUNG FLAT SCREEN
KITANDA
SHANGAZI AKISEMABADO BADO HATUJAMTUNZA MWENETU
AKAVUA BANGILI 2 KATI YA SITA ALIZOVAA MKONONI
MMEONA HIZI NDIZO NAMVISHA MWANANGU
MASHALLAH JOHA UNAPENDWAJE
KAMATI IKIENDA KUTUNZA
WAKIONGOZWA NA MIRIAM AZIZ, HAWA NDIO WAJIITE WA MJINI BWANA SHUGHULI IMEKWENDA IMEKWENDA SHULE......!! MAMBO YAO YANAFANANA NA WAO WENYEWE
WANAKAMTI WALITOA ZAWADI YA SOFA COACH TOKA FURNITURE CENTER , M\KITI MIRIAM AZIZ AKIKABIDHI ZAWADI, CHEZEYAAAA!!! 
WIFIS WAKITOA ZAWADI
WIFIS WAKIMTUNZA WIFI YAO!!
WIFI WAKIKABIDHI JIKO LA GAS, WANASEMA HIVI KAKA APENDA VITAMTAM!!
WATOTO WA BI HARUSI WAKIMPA ZAWADI
WATOTO WAKIWA NA ZAWADI YAO YA PICHA
WAKAMKABIDHI COFFEE TABLE MKO JUUU!!
WAKICHEZA NA ODO
ASILA AKITUNZWA NA MKE MWENZA MIRIAM & SHOSTITO WAKE MAIMUNA
ASILA NI MSTAARABU SANA MIMI HUWA NAFURAHI KUKUTANA NA WATU KAMA HAWA!!!
NIMEPENDA TU KUWEKA PICHA HIZI SIJAPITIWA

HUWAWEZI HAWA BWANA ACHANA NAO, WAKO JUU ILE MBAYA NI MASHOSTI TOKEA NAINGI JIJINI NIKITOKEA MKOA, WALITAMBAJE!!
KISHA WAKAANZA KUMWAGA PESA!
WAKIWA NA FURAHA ILE MBAYA!!
ASILA MIE MATOOOOO!!, WANASEMA MWANAMKE JICHO HASWA UKIWA NALO!!! NIMEKUBALI
MAMA MZAZI WA JOKHAR, AKITUNZWA NA WANAKAMATI

WANAKAMATI WAKIMTUNZA MAMA

HIYO SET YA SHUKA NI YA UKWEE'E
JOKHA AKIMTUNZA MAMA YAKE DOLLAR!!
WIFIS WAKIENDA MTUNZA WIFI YAO!!
MLITISHAJE NA HAYO MAWAX!!
UMEMUONA SHANGAZI, AKIFUNGA KITAMBAA
KISHA AKMFUNGA WIFIYE KICHWANI, UNAJUA KWA SBB GANI?
PESA HAZIRUSHWI ZIKAANGUKA CHINI, HAPANA ZAWEKWA HAPO KWENYE KITAMBAA 
NYUSO
MIRIAM, MAIMUNA & ASILA
WIFIS
SALMA MNTAMBO
SHARIFFA HASHIM
MARIAM MNTAMBO
RED CARPET
SWAGAPost a Comment

3 Comments

  1. mhhhhhhhhhhhhh sherehe nzuri make ups zimekaa penyewe kbsa,nimemuona prisila na mama ake wamenoga.

    ReplyDelete
  2. MWAHHHHHHH SHUGHULI NZURI NIMEFURAHI KUWAONA WAPENZI WANGU WA MIAKA MINGI INSHALLAH IPO SIKU TUTAONANA

    ReplyDelete
  3. mashalla gorgeous,

    ReplyDelete