KIDAWA & JAFFARY AQDI

KIDAWA AKIINGIZWA NA PAMBE YA SOMO ZAKE, SOMO KIONGOZI NYOTA, HAPANA CHEZEA SOMO YUKO MAKINI SANA NA MWARI...!!!, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

 
 KIDAWA AKIMSUBIRI MUMEWE!!!
 PENDEZA EEH!! NGUO IMEMKAA...!!!
 
 KIDAWA NA MUMEWE JAFFAR!!
 
NEW COUPLE IN TOWN!!!
SWAGA ZA KIDAWA KIKUBA KEA SANA...!!!

BWANA JAFFARY AKIINGIA UKUMBINI
 
 JAFFARY AKIMPA MKEWE MKONO WA KWANZA NDOANI
 AKAMFUNIA SHELLA, UMEMONA EEH, ANAVYOKIANGALIA KITU CHAKE
 BUSUUUUU EEH!!
MAARUSI WAKASAINI VVETI VYA NDOA
QASWIDA
ILIKUWA NDOA YA KIDINI ZAIDI, HAKUNA RUSHA ROHO NI DUFU KWA KWENDA MBELE!!!
 DADA ANA SAUTI NZURI HUYU, HII NI MARA PILI NAKUTANA NAYE!!!
 WAALIKWA WAKIFURAIA DUFU...!!
 BWANA NA BIHARUSI WALISHUKA NAO KUCHEZA DUFU
NYUSO's
MWARI NA SOMO, WASAFIIIII!!

RED CARPET
SALMA KESSY SOMO SOMORE!!
AISHA MTENGETI, MAMA WA YALIYOMO YAMO BAOUTIQ

Post a Comment

9 Comments

 1. Bibi hatusi amepabwa vizuri sana make up artist amemtendea haki.Mungu akupe ndoa yenye amani na furaha

  ReplyDelete
 2. S,ALEYKUM
  WAISLAMU WENZANGU HIJAB BASI HATA MAULIDIN NYIE MUONESHE NYWELE? YA RABIIIII

  TULIAMBIWA SIE NDO TUTAINGIA KWANZA MOTONI SI UONGO

  HAKIKA SIJUI NYWELE NDO UZURI WETU WAONENI WANAIJA NA NDOA ZAO ZA KIDIN .YA RAAABI STIR UMATI WAKO

  ReplyDelete
 3. jamani watu wote wamependeza kila mtu amependeza safi sana sisi tulio nje tunapenda kuangalia mambo haswa ya nyumbani haswa mavanzi hina na mambo mengine mengi SIPENDI wanao vaa suruali ukizingatia jua kali la nyumbani tunakumbuka nyumbani na mila zetu tuko pamoja kuzingatia kuto acha mila zetu kutoka boston MA

  ReplyDelete
 4. Wabongo mwaonga make up mno.

  ReplyDelete
 5. Pendeza sanaaaa! si mchezo

  ReplyDelete
 6. Pendeza sanaaaa! si mchezo

  ReplyDelete
 7. jamani naomba tupunguze rangi za macho.na huu mpango wa kupaka macho mawili rangi tofauti haipendezi kusema kweli.tujifunze watanzania

  ReplyDelete
 8. hata hivyo bi harusi kapendeza mashallah

  ReplyDelete
 9. Kidawa kidawa kweli Maashaallah, pendeza sana, Hebu jifunzeni Make-up ya Bi Harusi kama huyu, hakika kamtendea Haqi, hii ndio make-up ya Bi harusi, uzuri wake unaonekana, na sio face paint. jamani lakini nini?

  ReplyDelete