KIJACHO:: AMINA DOTTO KAPUYA NIGHT

 IMENIBIDI LEO NIWAONJESHE DECOR KWANZA, KWA SABABU MAPAMBO YALIPENDEZA NA KUBADILISHA KABISA MANDHARI YA VIWANJA VYA KARIMJEE, THEME NI VISIWA VYA ZANZIBAR UBUNIFU WA HALI YA JUU!! HIVI NDIVYO TWATAKA, JE UNAJUA NI WAZO LA NANI?, ZAMA NDANI KUONA MAPAMBO ZAIDI....!! NA UKAE MKAO ULE ULE WA PICHA KIBAO!!!

 NAKSHI NAKSHI ZA ZANZIBAR KIBAO!!
 UMEONA EEH, MAUA SIO LAZIMA ROSSES!!
 KILA KONA TULIKUWA NA MASHUA!!!

JUU YA MEZA KULIKUWA NA UNGO WENYE MCHANGA, NA TAA ZA CHEMLI AMBAZO BAADA YA KIZA KUINGIA ZILIWAKA
 TABLE SETTING SAFIIIIII
WADAU WANGU MKAO ULE ULE!! INGIA TOKA UKIRUDI MAMBO HEWANI

Post a Comment

0 Comments