KIJACHO:: KIDAWA & JAFFARY AQDI

 KIDAWA AKIINGIA UKUMBINI NA SOMO MKONGWE NA MAKINI, NYOTA, WATAKA KUJUA NI NANI ALIYEPATA TUNDA HILI CHUNGULIA HUMO NDANI UPATE HABARI KAMILI

 KIDAWA & JAFFARY
 MDAU WANGU WA UKWEE'E KIDAWA PENDEZA ILE MBAYA!!
 NYOTA NA MWARI WAKE KIDAWA, SOMO UKO MAKINI AMINIA WEWE
SWAGA ZA KIDAWA CHANZO NI SOMO ASUMINI, HAPANA CHEZEA!!

Post a Comment

4 Comments

 1. pendeza sanaaa mmashaalaah..mungu akupe baraka telee..muishi na mumeo vizuriii

  ReplyDelete
 2. Mbona pic chache? Loo! umetuonjesha tu.

  ReplyDelete
 3. hapana chezea mamii kidawa.hongera mwaya hata kama ujatuambia view high

  ReplyDelete
 4. imependeza kweli duuuuuuu

  ReplyDelete