LUNCH YA SNULLA & TWAHIR!!!!

 BRIDE    :: SNULLA
GROOM:: TWAHIR
VENUE  :: DIAMOND V.I.P. HALL
ENTERTAINMENT:: ZANZIBAR ONE LIVE BAND, MUSIC & VANGA
COLOUR:: GREEN APPLE & ROYAL BLUE (BAZEEE)
CATERER:: TALMA CATERER 
 
 ZAWADI YA MAMA
 BAADA YA SNULLA NA TWAHIR KUINGIA, MAMA MARIAM TWAHIR ALIMPA SNULLA SET YA DHAHABU KAMA KUMPOKEA KATIKA FAMILIA
 ASANTE MAMA...!!!
WADAU KATIKA KUSHEREHESHA ARUSI HII ILIKUWA NI SIKU SABA, HII SHUGHULI NI YA SIKU YA SITA MAMBO YALIKUWA SI MCHEZO, MAMA YA KUKARANGIZA KAWEKA HISTORIA NASIKIA HUKOOO ZAMANI SANA ARUSI YA MWANAMAMA MMOJA NDIO ILIKUWA NDEFU KAMA HII, NA HAPO NI DAR, BADO YAENDELEA NA ZANZIBAR, ZAMA NDANI KUONA MENGI ZAIDI...!!

TWAHIR & SNULLA

 MC JAMILA KITMTIM
DECOR.....!!!!!
 ZAWADI
WADAU NDANI YA HALL LA VIP DIAMOND KULIJENGWA NYUMBA YA MUDA, HIZI FURNITURE ZOTE ZILIKAA SEHEMU HUSIKA
HIKI NI CHUMBA - SET YA CHUMBANI 

KITANDA NA DRESSING TABLE YA BABY MARIAM

DINNING ROOM
GARDEN SET
TOILET
KITCHEN
TV ROOM
NEW MODERN OF FOR DIRECTOR OF TALMA CATERER 

MAARUSI WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO NA FAMILIA
YAHYA AKIENDA KABIDHI ZAWADI ZAKE.....!!!
GARDEN TABLE
YAHYA AKIKABIDHI WATER DISPENSER 
MAMA KANYAU...!!-NGUO YA SAIDA DESIGNER NI HALIMA KAMUSI!!
SAIDA NA DAUDI WAKIKABIDHI SOFA COACH
NANA KANYAU AKIWA NA SAIDA AKIKABIDHI MEZA YA CHAKULA
K AKIKABIDHI DINNER SET NA GLASS
MARIAM KANGE AKIKABIDHI JIKO LA GAS NA UMEME
MARIAM AKIKABIDHI FREEZER
MARIAM MKWECHE AKIKABIDHI FRIDGE
K AKIENDELEA KUKABIDHI VITU ZAWADI ZAKE
WAKIKABIDHIWA WASHING MACHINE
SNULLA & TWAHIR WAKIKABIDHIWA TV ROOM SET
BABY MARIAM AKIKABIDHIWA KITANDA CHAKE NA FATUMA
AKIKABIDHIWA MEZA NA KITI CHAKE
NILIAMBIWA NI MARIAM NO.: 2AKIVISHWA MADINI

HII ILIKUWA SUPRISE KWA MARIAM TWAHIR, TOKA KWA MDOGO WAKE SALMA
MARIAM TWAHIR KATIKA OFISI YAKE MPYA NA KISASA ZAIDI

BAADA YA SNULLA & TWAHIR KUKABIDHIWA ZAWADI ZAO NA FAMILIA, MAMA MZAZI WA TWAHIR ALIMTUNZA MKWEWE SANDUKU, HAPANA CHEZEA SHUGHULI SIKU 7 NA SANDUKU LA UKWEE'E
BURUDANI
 ZANZIBAR ONE...!!!
 MARIAM TWAHIR AKITUNZA....!!!
WAKATI NDANI WATU WANARUSHA ROHO, NJE KULIKUWA NA VANGAAAAA!!!
KIFUTA JASHO
MC DALILA AKISHEREHESHA UTANZAJI

ARAFA TAMBA AKMFUTA JASHO MARIAM

ZAMANI DADAS GROUP, KABLA YA KUMTUNZA MARIAM WALIMVISHA SARE YAO
WALIMKABIDHI CHEQUE YA TSHS. 5,000,000, ZAMANI DADAS MNATISHA ILE MBAYA!!
MARIAM BEST AKIMFUTA JASHO MAMA WA SHUGHULI
KISHA AKAMFUTA JASHO
KATENDE SIMBA AKIMFUTA JASHO MARIAM
MAMA JANGUO NA FAMILIA YAKE WAKIMFUTA JASHO MARIAM TWAHIR
SAIDA ALIANZA KUMTUNZA MARIAM TWAHIR, AKAMTUNZA YAHYA NA SALMA ILIKUWA NI CONTINUES...!!UKUMBI MNZIMA KIMYAAAAAA!! KANYAU'S FAMILY TISHAAAAA!!!
ALITAMBAJE....!!! UKUMBI MZIMA KIMYA!!!! HAPANA CHEZEA
SHABIKI BAHIYA AKIMTUNZA MTU WAKE SAIDA KANYAU
ANKAL YAHYA ZAMU YAKE SASA.........!!!!!
YAHYA AKIWA TAYARI KUFUTWA JASHO NA SAIDA KANYAU
SAIDA KANYAU AKITAMBA, SIKU ZOTE UWA ANATUZA NA NYIMBO YAKE MOJA TU, SINA MUDA WA KUMDISCUSS MTU, UKU NINALISHWA NYAMA YA MISHIKAKI YA MBUZI...!!
PROFFESSOR WA MAPENZIIIIIIII!!!
ANKAL YAHYA AKIFUTWA JASHO!
MARIAM AKIFUNGUA KIBOX NDANI KUNA NINI?
NDANI KUNA BURUNGUTU LA FEDHA

NYUSO
SHEIKH MHANDO, TWAHIR, MARIAM & POLLA
MAMA MANZI & FRIEND
RUKIA ABEBE & ROSE RUPIA
JOHA LEMKI & BIUBWA
ZAMANI DADAS GROUP
MARIAM, MASOOD & YAHYA
MAMA NA MWANA
BAHIYA & JOHA KABOTOKA
MZEE BEST, SALAMA KATUNGUNYA, MARIAM BEST & FRIEND
RAJAB & FRIEND
DALILA JAGAR & SHARRIFA
HIDAYA MCHOWELE
JOHA SIMBA & FRIENDS
YAHYA & KASIM A.K.A "K"
YAHYA, NANA & HUBBY
NANA & HUBBY, NANA MAKEUP BY ASILA BRIDAL
SAIDA & HUBBY DAUD KANYAU-SAIDA MAKE-UP BY ASILA BRIDAL!!!
SHAMSA HASSANOL
NANA, SHAMSA & BAHIYA
MARIAM TWAHIR & FRIEND
BEAUTIFUL!!!
NANA KANYAU & FRIEND, NANA MAKEUP BY ASILA BRIDAL PACKAGE
RED & BLUE CARPET
 MAMA NA MWANA (BFF)
DESIGNER WA NGUO NI HALIMA KAMUSI MPIGIE KAMA UMEPENDA MSHONO
+255 715 555 525
 MARIMA TWAHIR & MAMA YAKE
SHARRIFA & MERRY
MAMA ROSE RUPIA
SHARRIFA, FAIDA & MERRY
SAIDA KANYAU - TISHA
MAMA LINDA
FAUZIA BENBELA & FAIZA MAFISH
MAMA TAMBA & MAMA KISMAT
BI. ESHE SURURU
EDDO
MAMA FATHIYA
HIDAYA, HADIJA & HANIA
SHARRIFA HASHIM
SITTU MWASU
HIDAYA KAZIRAHABI & HADIJA
SHAMSA HASSANOL, FAIZA & TANISA
MARIAM WHITE
SAIDA KANYAU & TANISA
ANKAL YAHYA
HADIJA YUSUF
JOHA SIMBA
JAMILA-MC
REHEMA
HALIMA SHETA
MWANAISHA MASANGA
PACHANGA
MAUNDA
SADAKA & MARIAM
TANISA & FAIZA
FAIDA
SHAMIMU
MARIAM TWAHIR
MARIAM & MARIAM
MARIAM MKWECHE & FRIEND
JOHA & FRIENDS
ANKAL YAHYA & SHARRIFA HASHIM
HALIMA KAMUSI
MASOOD & JOHA LEMKI
RUKIA
SHUMU
KATENDE SIMBA
KATENDE SIMBA & FRIEND
JOHA SIMBA
SWAGA

ASANTE KWA KUNITEMBELEA
MY BAZEE DESIGN BY HALIMA KAMUSI..!!! UKO JUUU!!

Post a Comment

6 Comments

 1. Saida Kanyau me unanimaliza na madini tu,umeweka nyumba shingoni, hasara roho pesa makaratasi......

  ReplyDelete
 2. MASHAUZI YATAKA PESA...............hapana chezea saidia kanyau

  ReplyDelete
 3. Halima kamus upo juu mummy umependeza sn,jamani wengine mapoudaaa punguzeni duuh

  ReplyDelete
 4. Yah! Ilipendeza sana shughuli na zawadi ya office ilikuwa ya knowledge zaidi. Big up Salma Rahim. Wakuache mtoto na riziki yako. Huna time na mtu. Upo kikazi zaidi.

  ReplyDelete
 5. pendeza halima kamusi ma shosti, nimekubali. harusi in general imependeza, hongera kwa maharusi

  ReplyDelete
 6. hey sis HALIMA KAMUS UKO JUU HAWAKUWEZI

  ReplyDelete