MCHANGO WA MAULID YA MTUME (S.W.A.) TANDAMTI


MAULID MAULID YA WANA TANDAMTI
 
 VIJANA NA WAKAZI WA MTAA WA TANDAMTI KARIAKOO WANATARAJIA KUFANYA MAULID YA MTUME (S.W.A) MWEZI WA NNE TAREHE 6/4/2013, KUTOKANA NA BLOGU HII KURUSHA EVENT HII KILA MWAKA KUNA WANA TANDAMTI WAISHIO NJE YA NCHI WALIOMBA KUPEWA TAARIFA ILI WATUME MICHANGO YAO AU SADAKA ILI KUFANIKISHA JAMBO HILI LA KHERI!!  WAWEZA KUCHANGIA TU SI LAZIMA UWE UMEISHI TANDAMTI. PESA ZOTE ZITUMWE KWA WESTERN UNION AU KWA WALE AMBAO WAKO HAPA HAPA NCHINI WATUMIE NAMBA HIZO HAPO CHINI TIGOPESA NA TAARIFA ZITUMWE KUPITIA MASHUGHULI@GMAIL.COM AU TWAWEZA WASILIANA KUPITIA NAMBA ZA SIMU ZIFUATAZO:-
+255 758 266 701
                                               +255 717 618 762 - NAMBA YA TIGOPESA
MICHANGO YENU ITAWAKILISHWA KWA WAHUSIKA

SHUKRANI

BONYEZA LINK UONE MAULID YA MWAKA 2012

Post a Comment

0 Comments