NAIJA ISLAMIC WEDDING!!

 MASHALLAH!!!!! NI LINI TUTAIGA TOKA KWAO KWA SABABU PAMOJA NA KUWALETEA SHUGHULI ZAO BADO SOMO NI GUMU SAAANA, ZIKO HARUSI CHACHE SANA TANZANIA AMBAZO ZIMEPANGILIWA, LAKINI NYINGI HASWA ZA USWAZI KIKUBWA NI RUSHA ROHO, HAWAJALI MAKE-UP YA BI HARUSI WALA MAVAZI, SIO UWEZO TU, KIKUBWA NI KUJIPANGA, ASILIMIA YA HARUSI ZA TANZANIA ZINAFANYIKA KWA MICHANGO.....HAYA ZAMA NDANI MTUPE MAONI YENU


 HUYU NI BI HARUSI WA KIISLAMU EMBU ONA VELI YAKE!!!
DECOR
 WAPAMBAJI WENGI TANZANIA SIO WABUNIFU, NA PIA TUBADILIKI SIO VITAMBAA VYA SILK TAFUTA OTHER MATERIAL UONESHE TOFAUTI

MIE HAPA NIMEGUSWA NA HINNA, VERY SIMPLE!!!

 NZURI EEH!! KWA PICHA KAMA HIZI MPIGIE JOHN NAMUAMINI 100% PICHA NA VIDEO NI LAZIMA ZIWE NZURI KUMBUKUMBU YAKO!!!! +255 714 962 354
 UMEONA MPAKA MAIDS NA MITANDIO YAO PENDEZA SANA...!!!


TRADIONAL WEDDING
 HIYO ALIOPAKWA NYEUPE NI NINI? ASILA MAKE-UP ARTIST TUAMBIE!!

 HAYA HAPA NITAONGEA, KUHUSU KUPAKA EYESHADOW ZAIDI YA RANGI MOJA EMBU ANGALIA ALIVYOPENDEZA, SIO SIE ETI KWA SABABU UMEVAA NGUO INA RANGU NNE BASI KWENYE JICHO LAZIMA UPAKE ZOTE, KHAAA!! SOMETIMES ZINATISHA

 WAPAKA HINNA FANYENI UTUNDU NA NYIE!!!


 UMEONA VITU VYA BI HARUSI, SAA, PERFUME MABIHARUSI WATARAJIWA ANZA KUJIKUSANYIA VITU VYAKO VYENYE THAMANI VYA KUVAA SIKU YAKO!!! HAPA WALINICHANGANYA SUJUI WALIBADILI NGUO MARA NGAPI?
SIKU HIZI KUNA FASHION YA BI HARUSI KUVAA NGUO MBILI, LAKINI UNABADILI NGUO KILA MOJA INAMZIDI MWENZIE KWA UBAYA,SI BORA UVAE MOJA TU, UKIAMUA NGULA NGURUWE CHAGUA ALIYENONA!!!
INAWEZEKANA KABISA NIKAJA KUWA WEDDING PLANNER AU MNASEMAJE WADAU NAWAPENDA SANA THANK YOU FOR YOUR SUPPORT!!!
Post a Comment

8 Comments

 1. umeongea kweli da helen kujipanga ni muhimu sio uwezo bi harusi unaweza kuwa na nguo zako sio za bei sana lakini ukazipangilia ukatokelezeya mbaya. kuhusu makeup machoni za rangi mbili ona huyu ameweka lakini kaisugulia inaonekana kwa mbaaali imekaa safi sio kina mwanawane inaonekana chafu kama umepaka rangi ya ukuta. turudi kwenye hina sio nasema vibaya lakini hina mpaka mabegani au shingoni mimi naona tupunguze wadau mnasemaje hina ikizidi sana inaziba nafasi ya muonekano wa gauni ni hayo tu wapenzi tutafika nasi siku moja

  ReplyDelete
 2. Ni kweli da hellen. Tunashukuru sana kwa picha nzuri za maharusi sie wengine ndo twajifunza hapo. ila ushauri kwa ma biharusi wa kiislam mmeona wenzetu wa naija kwenye AQDI(NDOA) ZAO Wanafunika nywele zao labda kwenye reception ndo utaona. ila huku kwetu minywele tu imeachiwa mbona ukipambwa na ukajifunika nywele unapendeza. kama mzuri mzuri tu tujiamini jamani. Tendo la kufunga ndoa ni la barka na malaika wote siku hiyo wanashuka kushuhudia leo ww unajiacha wazi ndo unapoondoka na mikosi hphpo ukumbini.

  ReplyDelete
 3. MASHAALWAH IMENIGUSA .
  SIKU HIZI NGUO ZA MAHARUSI BONGO SHURT DODO ZIWE NJE MIE SIELAWI MTU UNAOLEWA UNAONYESHA PUBLIK MAZIWA YAKO YA NINI?????? AMEPENDEZA NIMEAMINI KUJISTIR KUZUR

  MAMBO KUPANGILIA TUIGE TUTOKE TUONEKANE

  ReplyDelete
 4. MASHALLAH MAHARUSI WAMEPENDEZA SANA TENA SANA. NGUO NZURI MASHALLAH IMEMSITIRI MAKEUP IMETULIA SIO KAMA SIO HUKU TZ BIHARUSI MIRANGI KAMA NDEGE WA PORINI NA NGUO IWAZI YOTE MAZIWA NJE. SIO VIZURI JAMANI TUBADILIKE HIVI NDIO MAHARUSI WA KIISLAM WANATAKIWA WAWE KUJISTIRI MUHIMU WENGINE WANAONA BILA KUJIFUNUA KICHWA HUPENDEZI KASEMA NANI?

  ReplyDelete
 5. Awww mashallah jaman wenzetu huj. Tujtahd sana bado kujstir cku za ndoa zetu ndoa ni ibada .

  ReplyDelete
 6. mashallaah da hellen nimeguswa sana na maids wa hii harus hakuna cha kimin wala kwapa nje wala nyonyo full kujistir na bado wako on point tubadilike wanawake wenzangu na tusitir miil yetu ndoa ni ibada,pil nmempendajee bi harusi sas katoa somo kubwaa unaweza funika nywele kwa kutupia shung na bado ukapendeza dada helen endelea kutupa dose hapa kutwa mara tatu na somo lazma lieleweke tu kuanzia make up artist wetu wa kibongo,ma bi harus familia ya bi harusi na waalikwa katika shughuli zote iwe ni kparty,send off,reception. ni hayo tu kwa leo mungu akujalie afya njema zaid tujifunze meng kupitia blog yako.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umeona Eeee! MashaAllah hadi raha

   Delete