NAIJA WEDDING!!TRADITIONAL WEDDING


Post a Comment

5 Comments

 1. SAFI SANA!!! Mfano mzuri wa kuiga, arusi imetulia, bi arusi amependeza sana sana, mana kupendeza zaidi kwa kuwa hajaji siriba wala kujikandika ma 'make-ups' kama vile tunapewa bure!! make-up kiasi inapendeza kweli jamani hebu tuigeeee maana - VIZURI HUIGWA!!! hakuna kiuno, hakuna mirangi, hakuna mikorokoro; watu wote wako na light make-ups na wote wampendeza,kuanzia upambaji wa hall, meza na wao wenyewe; tuangalie na tuige - hakuna ubaya!! mbona nguo zao tunaiga?? kwanini isiwe na uwekaji wa make-ups, mbona na sie wazuri sana - tutapendeza zaidi tusipojikandika ma make-ups - NI WAZO TU!!!

  ReplyDelete
 2. SAFI SANA!!! Mfano mzuri wa kuiga, arusi imetulia, bi arusi amependeza sana sana, mana kupendeza zaidi kwa kuwa hajaji siriba wala kujikandika ma 'make-ups' kama vile tunapewa bure!! make-up kiasi inapendeza kweli jamani hebu tuigeeee maana - VIZURI HUIGWA!!! hakuna kiuno, hakuna mirangi, hakuna mikorokoro; watu wote wako na light make-ups na wote wampendeza,kuanzia upambaji wa hall, meza na wao wenyewe; tuangalie na tuige - hakuna ubaya!! mbona nguo zao tunaiga?? kwanini isiwe na uwekaji wa make-ups, mbona na sie wazuri sana - tutapendeza zaidi tusipojikandika ma make-ups - NI WAZO TU!!!

  ReplyDelete
 3. bi harus ni mzuri mno, hata bwana harusi pia nimewapenda walikuwa free na wenye furaha tele

  ReplyDelete
 4. Mbona huweki ya jokha

  ReplyDelete
 5. Hayo uyasemayo ni ya kweli kabisa utakuta mtu nguo nzuri aliyoivaa lkn kamwangalie usoni utadhani kajipaka majivu yaani tunatia aibu kuhusu make-ups tubadilike jamani tunatembelea shughuli za wenzetu kwa nini tusiege vitu vizuri kila kukicha sisi tu why?

  ReplyDelete