NEW ARRIVAL FOR EASTER!!!!

NI LILE LILE DUKA LAKO KWA AJILI YA MWANAO, SIKUKUU YA PASAKA IMEANZA KUNUKIA, KAMA KAWAIDA YETU MATAYARISHO KWA WENETU MUHIMU, DUKA HILI WAMESHUSHA MZIGO MUPYAA KWA AJILI YA MWANAO WAKATI, NGUO ZAO NI QUALITY YA JUU SANA NI WAKATI MUAFAKA KUWATEMBELEA!!

WANAPATIKANA:: KINONDONI MUSLIM KARIBU NA BANK YA BARCLAYS, JENGO MOJA NA DUKA LA JACKZ COSMETS
MAWASILIANO:: +255 713 371 403
NGUO ZA WATOTO WA KIKE!!!
SWAGA KAMA HIZI KWA BABY BOY, ZINANOGAJE, ZAMA NDANI UJIONEE MWENYEWE

VITUPIO VYA UKWEE'E, 

NGUO ZA VICHANGA ZINAPATIKANA DUKANI
VIATU VYA WATOTO WA KIKE


SANDALZ

CHUPI ZA KIKE


SAA ZA WATOTO WA KIKE NA KIUME

HAIR BAND ZA WATOTO WA KIKE


NGUO ZA VICHANGA
NGUO ZA WATOTO WA KUME
 MASHATI YA COTTON

 T SHIRT ZA UKWEE'E PURE COTTON!!!SPIDER-MAN FOR YOUR KID

 PENS ZA KIUME

3PC SUIT


NGUO ZA KULALA, BEN10

SLEEVELESS TSHIRT & PENS 

VIATU VYA KIUME


HIVI NI UNISEX KWA WOTE

CHUPI ZA COTTONHANDBAG ZA KINA MAMA PURE LEATHERWAHI SASA USICHELEWE!!!!
Post a Comment

4 Comments

 1. nimeshawahi kununua vitu vya mtoto wangu kwenye hili duka, Aisee wanavitu vizuri sana.

  ReplyDelete
 2. Yani ni vitu vya ukweli, ngoja nijipigepige nije niwachukulie wanangu

  ReplyDelete
 3. Shalom: Tungependa kujua bei za nguo za watoto wa kike na wa kiume na handbags za akina mama. Na je? mnatembelea maofisini? kwa sababu kuna wengine ambao wako mbali na ofisi zako na muda pia unawabana. Mnalifikiriaje hilo? Asanteni.

  ReplyDelete
 4. Bei ni nzuri sana zinaanzia 15,000 mpaka 45,000 kwa nguo za watoto wa kike na wakiume handbag zipo kuanznia 80,000 mpaka 120,000.
  hatujanza kutembelea maofisin ila kama unahitaji tafadhali wasliana nami kwa namba hii 0753-264593 nami nitafanya mpango wakuleta huko ulipo
  asanteni wateja wangu kwa support yenu mungu awabariki

  ReplyDelete